Have I seen my death?

Mrejesho: Usiku wa kuamkia leo nimeogopa kulala kabisa, yaani taabu tu na hayo mapaka yalikua yanalia kwa sauti za watu dirishani usiku nikajua ndio iziraeli karudi tena mshana jr
 
Nilizani Ziraili ana timetable ya kutembelea mashamba yake kumbe nae mkurupukaji tu!!..Anahitaji kuundiwa kamati kuchunguza maamuzi yake asije tembelea shamba lililotoka pandwa mchana wake na saa godi!..
 
Hivi ungeota umeokota hela, umekuwa tajiri ungekemea kwa jina la Yesu? ndoto kama hii kaka mshana jr ni nzuri au na yenyewe Israel anataka yake?
 
Mmmh hizi ndoto zingine Mungu atuepushe nazo kwa kweli uwiii!Asante mshana kwa ufafanuzi huu japo unatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…