Have I seen my death?

Have I seen my death?

Mrejesho: Usiku wa kuamkia leo nimeogopa kulala kabisa, yaani taabu tu na hayo mapaka yalikua yanalia kwa sauti za watu dirishani usiku nikajua ndio iziraeli karudi tena mshana jr
 
Ziraili mtoa roho hakuwa mbali, taa uliyokuwa unajaribu kuwasha ni uhai ulikuwa unaondoka... Ule mwili uliongia uvunguni ni ziraili alikushindwa na kurudi jehanum.. Uvunguni kulisimama kama jehanum.. Kama utakumbuka muda ni kati ya saa 8:30- 9:30 usiku muda wa kifo
Kukemea asubuhi hakukuwa na effect yoyote ni sawa na kusikia mngurumo wa radi kisha utafute pa kukimbilia
Nilizani Ziraili ana timetable ya kutembelea mashamba yake kumbe nae mkurupukaji tu!!..Anahitaji kuundiwa kamati kuchunguza maamuzi yake asije tembelea shamba lililotoka pandwa mchana wake na saa godi!..
 
Hivi ungeota umeokota hela, umekuwa tajiri ungekemea kwa jina la Yesu? ndoto kama hii kaka mshana jr ni nzuri au na yenyewe Israel anataka yake?
 
Ziraili mtoa roho hakuwa mbali, taa uliyokuwa unajaribu kuwasha ni uhai ulikuwa unaondoka... Ule mwili uliongia uvunguni ni ziraili alikushindwa na kurudi jehanum.. Uvunguni kulisimama kama jehanum.. Kama utakumbuka muda ni kati ya saa 8:30- 9:30 usiku muda wa kifo
Kukemea asubuhi hakukuwa na effect yoyote ni sawa na kusikia mngurumo wa radi kisha utafute pa kukimbilia
Mmmh hizi ndoto zingine Mungu atuepushe nazo kwa kweli uwiii!Asante mshana kwa ufafanuzi huu japo unatisha.
 
Back
Top Bottom