Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Covid-19 is a scam!...watu/madaktari wachache wanaojua huu ukweli wanafungwa midomo au taarifa zao zinazuiwa zisienee kwa kua vyombo vyote vya habari wanamiliki wao.

Wana create fear kwa kutumia propaganda za covid-19 virus, fake statistics za taarifa zavifo.kitu ambacho hakipo
 
Maswali yangu ni mawili tu:
1.Kwanini wanafanya hivi?

2.Mnaofanyiwa hivi mnachukua hatua gani?
 
Wew babu zako waliambiwaje
waliambiwa the same ila walipotaka kuniambia mimi nikawakumbusha kua mababu zenu waliwahi kuwasimulia hii hekaya na wakafa wakaicha so mnataka na mimi niishi katika ujinga huo huo nije niwafundishe watoto zangu habari ya kipuuzi kama hiyo kwa manufaa gani?
 
Magu ndio aliyewaweza japo mwishoni hakubaki salama kama convenant yao inavyosema
 
Sawa mkuu,umesema nitafakari sio? lakini yote uliyosema naona pia na wewe umechukua upande mmoja tu.

Kuhusu vita kama Burundi hapa nina uzoefu na sio tu kusoma au kusikia kwa jirani.Kipindi niko mdogo nilikuwa na mjomba padre alikuwa akifanya kazi jimbo la Rulenge-Ngara.Kipindi hicho tulikuwa tunaenda Burundi na ndicho kipindi Burundi watu walikuwa kwenye mapigano.Kitu nlichoweza kuona ni ujinga wa wahutu na usaliti wa serikali ya Burundi kwa watu wake na si vinginevyo(hakuna mkono wa watu nje na kama upo unakuja tu katika kuuza siraha).

Kwanini natoa lawama kwa serikali ya kipindi hicho,sababu ni kwamba hapakuwa na uongozi pale ulikuwa ujinga tu.Kipindi kile ulikuwa ukiwa na elfu kama 20 za tz unaweza kupata mabomu ya kutupa kwa mkono,SMG zilikuwa nje nje.

Mwisho kabisa nisiwachoshe wasomaji kwa maana ni mengi niliyaona, na juu ya hiki ulichosema kuhusu wahutu na watusi.

Watusi wao kuona wako bora kupita wenzao sidhani kama kuna mkono wa mtu wa nje hata kidogo.Hawa watu hii ni tabia tu ambayo haijulikani walitoa wapi.Nimekaa nao,tena kuna wengine ni wazazi wangu lakini sijawahi ona hiki unachojaribu kusema.Ukitaka kujua mambo haya ni magumu zaidi kuna watu wengine wanaitwa Wahima(hawa jamaa wana dharau japo si wote ) ni jamii ya wafugaji ambao sina kumbukumbu kama wana interaction yoyote na watu wa mataifa kiasi kwamba kuna mtu anaweza penyeza ideology yake ambayo ikawa ndio ina motivate hivi ambavyo wana behave
 
We will establish a money system that will imprison them forever,
keeping them and their children in debt


Katika vitu ambavyo nikitafakari haviingii akilini ni matumizi ya pesa(makaratasi), tunaachia madini yetu, rasilimali zetu zinachukuliwa kwa makaratasi yaliyopambwa na kupewa jina zuri, pesa(money). Waafrika imefika wakati tusiwe watu wa kulalamika, uamuzi wa kutoka apa tulipo upo mikononi mwetu, tukiamua tunaweza.
 
Asante sana kwa comment , ila grassroots ya haya matatizo ya hao watu ni hizi global mafia zinatumia cheap mind na kuwapa leadership kwenye hizo nchi au kwenye makundi ya wazazi na kuwapa ushauri wa kuwaangamizana wenyewe kwa wenyewe na watu kuanza kuishi kwa kusiniana na kuogopana.

The same in the current Ethiopian war, Vita ya Sudan, hata Liberia .... Kuna mambo nisingependa kuandika hapa lakin siku nikipata nafasi ntaweka links
 
Tatizo mkuu na sisi binadamu ni kutojitambua na kujielewa haya yote yanatokana na sisi kuwafanyia kazi.

Mfano watu tukaamua ku dismantle the system kwa kila anayejiona mtu not obey the system! Umoja ni nguvu..
Mfano watu wakaelewa kuwa dawa zipo kwenye plants from nature na si kile "chemical drug" ambazo huzuru equilibrium of a body.

Au wakulima kuacha kutumia mbolea ya chumvi na kutupigia dawa za "kuuwa wadudu kwenye mmea" waambieni ni bora kula hao wadudu mara mia kuliko kula sumu, mkumbuke yule mama wa Geita aliua watoto wake kwa sumu kwa kuwanywesha dawa ya mmea wa nyanya ambazo ni yi wakulima mnatumimia kwenye matunda ya nyanya, mjue wengi tunapenda kachumbari mtionee huruma wenzenu, unajua binadamu huwezi kujitegemea kwa kila kitu.
 
Loo! Nadhani ili uwe na amani jifanye huyajui hayo.Kinachobaki ni kumwelekea Mungu na kujikabidhi kwake.Vinginevyo hasa hasa sisi Waafrika tunatembea ni Marehemu.
Sasa tatizo huyo wewe unayemwita Mungu ndo anayafanya yote hayo ambayo wewe unayaona kuwa ni mabaya!
We jiulize hivi nani ana nguvu, mungu au shetani?

Ukipata jibu jiulize tena Nani ana control entire world, mungu au shetani? Kama ni mungu ndo anatawala basi haya yanayotokea ni tabia yake, kama shetani ndo anatawala dunia basi yeye ndo huyo mungu unayemjua!!

Ndo maana mimi siabudu mungu yoyote, siamini katika Yesu , Mungu, Mohamed, sijui Ubudha na Uhindu I dont care, tuipende dunia uetu hii, let us keep it and enjoy life
 
Aritficial Intelligent microchip ndo watu wanajiandikisha for their permanently be Slaves to the tomb.
 
Huwa nawashangaa jamaa zangu hawalielewi hili suala, yaani wana ku ridicule mda wote...yaani hapa kazini kwangu nineongea sana na watu kuhusu agenda iliyopo ya total control...jiandae kisaikolojia kutotumia fedha kama njia ya kukusaidia kiuishi.

Huu ni muda wa kutafuta maeneo nje ya mji na kuishi eneo ambapo unaweza kupata hata eneo lenye maji ardhini ukatoboa ukatafuta solar heatet panel za uhakika utajilimia chakula chalko mwenyewe..time is over satu nao hawà jielewi, kuna jamaa yangu juzi ananiambia jimsindikize akachanje! Nikajisemea huyu jamaa bogus kweli...
 
Hakuna research wala knowledge yoyote hapo ni copy and paste tu ya matango pori.
 

Huyo Yoda Mmatumbi Ni Sikio La Kufa
 

Naungana Na Wewe Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…