Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Dunia haiwezi kuisha kama mche wa sabuni
Basi Itaisha kama mshumaa !! 😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia haiwezi kuisha kama mche wa sabuni
Porojo za karne hizo, mababu wa mababu zako waliambiwa hivyo hivyo na wakafa wakaiachaBasi Itaisha kama mshumaa !! 😏
Wew babu zako waliambiwajePorojo za karne hizo, mababu wa mababu zako waliambiwa hivyo hivyo na wakafa wakaiacha
Covid-19 is a scam!...watu/madaktari wachache wanaojua huu ukweli wanafungwa midomo au taarifa zao zinazuiwa zisienee kwa kua vyombo vyote vya habari wanamiliki wao.Kuna ambalo halijatimia?Hilo ndiko la kujiuliza.Kama lipo litatimizwa tu,na mimi naona almost yote tayari!
Na kwa jinsi hawa watu wakivyo mkuu,wala haya sio malengo mengi,kwa kuwa wana fronts nyingi kama ambavyo wamesema wenyewe.Mkuu kama umecheki hayo malengo vizuri,kazi wameshamaliza.Wanalokazania sasa ni hili👇
"When our goal is accomplished a new era of domination will begin."
Na hili wanataka walitimize kwa kutumia janga lao la kugushi la C-19.
Ukweli ni kwamba tumewaachia mno,tukiambiwa tunajidanganya/tunadanganywa kwamba ni conspiracy theories,here we are,in a dead end.Hapa niseme wazi,Wanadamu tusubiri muujiza tu,hatuna ujanja.
waliambiwa the same ila walipotaka kuniambia mimi nikawakumbusha kua mababu zenu waliwahi kuwasimulia hii hekaya na wakafa wakaicha so mnataka na mimi niishi katika ujinga huo huo nije niwafundishe watoto zangu habari ya kipuuzi kama hiyo kwa manufaa gani?Wew babu zako waliambiwaje
Magu ndio aliyewaweza japo mwishoni hakubaki salama kama convenant yao inavyosemaCovid-19 is a scam!...watu/madaktari wachache wanaojua huu ukweli wanafungwa midomo au taarifa zao zinazuiwa zisienee kwa kua vyombo vyote vya habari wanamiliki wao.
Wana create fear kwa kutumia propaganda za covid-19 virus, fake statistics za taarifa zavifo.kitu ambacho hakipo
Sawa mkuu,umesema nitafakari sio? lakini yote uliyosema naona pia na wewe umechukua upande mmoja tu.Ndu
Ndugu usiwe mwepesi kufanya judgement na kitu ukakiangalia kwa upande mmoja au ukakisoma kama hadithi. Nakuomba nikuulize usinijibu lakin utafakari.
1. Je nani alichochea chuki kati ya wahutu na Watusi warwanda mpaka wakauana kama mashetani 1994 wakati wamekaa pamoja miaka wameoana, je vikao vilivyokua vinafanyika Presidential palace Uganda kati ya RPF,Ugandan authorities vikiongozwa na UK and US authorities unajua nini kilikua nyuma??Kwa nn ICTR ilipeleleza upande mmoja?Nani alieathiriwa na vita, je deni la taifa halikuongeza mara kadhaa kujenga vilivyobomolewa na vita?? Who paid and still pay the price?? Kuhusu superiority kati ya wahutu na watusi naona hata hapa kuna ambao wanakuja kujigamba kwamba wao ni superior kuliko wengine, wanasahau kwamba wanakua wanamtumikia kafiri (the global mafia)
2. Vita vya Sudan ,sisi tunaona South Sudan ilijitenga kwa Sababu ya manyanyaso na ubaguzi wa waarabu wa kaskazini. Lakin ni kweli wale waarabu walikua na chuki na weusi, au kuna uchochezi ulifanywa na hawa global mafia ili itokee social collusion ,then baadaye Sudan iwe splitted wachote mafuta. Tafuta reference utapata.
3. The ongoing war in Ethiopia kati ya serekali na waasi wa Tigray. Is it a genuine war worthy to be fought and sacrifice so many people. Who told the Tigrayan should always lead Ethiopia. Why Tigrayan think they are superior species in Ethiopia?? Who told them?
Kwa ufupi mtu usiwe mwepesi kukashfu hoja ya mtu bila kuwa na vithibitisho na kujiridhisha na unachokiongea.
Ukiweza kupata hizo case studies 3,utaelewa vita za Liberia, Sierra Leone, Burundi, Angola, hata vita ya Eastern Congo, ....hata hii mivutano ya dini, wakristu kati yao, waislamu kati yao, hata waislamu na wakristu. Kuna infiltration kila angle ya maisha ila inahitakjika akili kubwa kuelewa mchezo
Asante sana kwa comment , ila grassroots ya haya matatizo ya hao watu ni hizi global mafia zinatumia cheap mind na kuwapa leadership kwenye hizo nchi au kwenye makundi ya wazazi na kuwapa ushauri wa kuwaangamizana wenyewe kwa wenyewe na watu kuanza kuishi kwa kusiniana na kuogopana.Sawa mkuu,umesema nitafakari sio? lakini yote uliyosema naona pia na wewe umechukua upande mmoja tu.
Kuhusu vita kama Burundi hapa nina uzoefu na sio tu kusoma au kusikia kwa jirani.Kipindi niko mdogo nilikuwa na mjomba padre alikuwa akifanya kazi jimbo la Rulenge-Ngara.Kipindi hicho tulikuwa tunaenda Burundi na ndicho kipindi Burundi watu walikuwa kwenye mapigano.Kitu nlichoweza kuona ni ujinga wa wahutu na usaliti wa serikali ya Burundi kwa watu wake na si vinginevyo(hakuna mkono wa watu nje na kama upo unakuja tu katika kuuza siraha).
Kwanini natoa lawama kwa serikali ya kipindi hicho,sababu ni kwamba hapakuwa na uongozi pale ulikuwa ujinga tu.Kipindi kile ulikuwa ukiwa na elfu kama 20 za tz unaweza kupata mabomu ya kutupa kwa mkono,SMG zilikuwa nje nje.
Mwisho kabisa nisiwachoshe wasomaji kwa maana ni mengi niliyaona, na juu ya hiki ulichosema kuhusu wahutu na watusi.
Watusi wao kuona wako bora kupita wenzao sidhani kama kuna mkono wa mtu wa nje hata kidogo.Hawa watu hii ni tabia tu ambayo haijulikani walitoa wapi.Nimekaa nao,tena kuna wengine ni wazazi wangu lakini sijawahi ona hiki unachojaribu kusema.Ukitaka kujua mambo haya ni magumu zaidi kuna watu wengine wanaitwa Wahima(hawa jamaa wana dharau japo si wote ) ni jamii ya wafugaji ambao sina kumbukumbu kama wana interaction yoyote na watu wa mataifa kiasi kwamba kuna mtu anaweza penyeza ideology yake ambayo ikawa ndio ina motivate hivi ambavyo wana behave
Tatizo mkuu na sisi binadamu ni kutojitambua na kujielewa haya yote yanatokana na sisi kuwafanyia kazi.Uko sahihi kabisa mkuu.Nilishasema hapa,hakuna Corona. Respiratory system illnesses tunazoziona zinaletwa na uchafuzi wa mazingira wa hawa hawa jamaa,tena kwa makusudi ili kutuua.Sasa Lead inafanya nini kwenye gasoline kama unavyo sema?Mkuu kwenye stratosphere ndiko wanakomwaga masumu na mandege yao kila kukicha in what is called Chemtrails.Kiukweli inatisha na inaudhi sana.Hebu cheki sumu zinavyo mwagwa[emoji116].
chemtrail photos - Google Suche
www.google.com
Angalia ndege zinazotumika kumwaga sumu zilivyo ndani[emoji116]
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Sasa tatizo huyo wewe unayemwita Mungu ndo anayafanya yote hayo ambayo wewe unayaona kuwa ni mabaya!Loo! Nadhani ili uwe na amani jifanye huyajui hayo.Kinachobaki ni kumwelekea Mungu na kujikabidhi kwake.Vinginevyo hasa hasa sisi Waafrika tunatembea ni Marehemu.
Aritficial Intelligent microchip ndo watu wanajiandikisha for their permanently be Slaves to the tomb.Uko sahihi kabisa,na ni kwa sababu ni microwaves au millimetre waves.Hizi waves ndizo zinazotumika kusafirisha 5G,ziko zaidi ya GHz 24.Huwa mimi namshangaa sana mtu anayeshabikia 5G,ni umbumbumbu wa hali ya juu sana.Infact 5G ndiyo itakayotumika ku-activate vimbwanga vilivyomo ndani ya kinachoitwa chanjo ya Corona.
Huwa nawashangaa jamaa zangu hawalielewi hili suala, yaani wana ku ridicule mda wote...yaani hapa kazini kwangu nineongea sana na watu kuhusu agenda iliyopo ya total control...jiandae kisaikolojia kutotumia fedha kama njia ya kukusaidia kiuishi.Kuna ambalo halijatimia?Hilo ndiko la kujiuliza.Kama lipo litatimizwa tu,na mimi naona almost yote tayari!
Na kwa jinsi hawa watu wakivyo mkuu,wala haya sio malengo mengi,kwa kuwa wana fronts nyingi kama ambavyo wamesema wenyewe.Mkuu kama umecheki hayo malengo vizuri,kazi wameshamaliza.Wanalokazania sasa ni hili[emoji116]
"When our goal is accomplished a new era of domination will begin."
Na hili wanataka walitimize kwa kutumia janga lao la kugushi la C-19.
Ukweli ni kwamba tumewaachia mno,tukiambiwa tunajidanganya/tunadanganywa kwamba ni conspiracy theories,here we are,in a dead end.Hapa niseme wazi,Wanadamu tusubiri muujiza tu,hatuna ujanja.
Hakuna research wala knowledge yoyote hapo ni copy and paste tu ya matango pori.Mkuu najifunza mengi Sanaa kutoka kwenye research na knowledge yako wewe n miongon mwa few participants kweny hii forum mmenifanya nisi delete because most of people humu are completely westernized and I bet few are really Agents wa hao watu(Globalists) keep doing what you suppose to do Kuna watu wengi tunakuelewa Sanaa and we are proud to have you inside here.thank you bro.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Subiria sasa ije 10G ili upige yowe vizuri.
Aisee Yoda wewe na mabwana zako ni wajinga sana.In all this nonsense,hivi Mungu mnamuweka wapi.Hivi mnajua kwamba wanadamu ni viumbe wake na hasa wale wanaomtii?Ngoja nikuambie Yoda,wateule watapata mateso,but God will protect them somehow,yeye anajua how.
Na naomba nitumie nafasi hii to warn yeyote atakayesoma ujumbe huu.The World and humanity as we know it is coming to a tragic end.It is only those who believe in Jesus Christ who will receive Gods'protection.Why don't you receive Jesus Christ including you Yoda so that you can guarantee yourself of Gods' protection in the very troubling and terrible few years ahead.It is now or never,the ball is in your feet.
Naomba Yoda wuisome hiyo Covenant vizuri,kama wamekudanganya kwamba wewe ni mmoja wao ni uongo,kimbia before it is too late.
Mkuu najifunza mengi Sanaa kutoka kwenye research na knowledge yako wewe n miongon mwa few participants kweny hii forum mmenifanya nisi delete because most of people humu are completely westernized and I bet few are really Agents wa hao watu(Globalists) keep doing what you suppose to do Kuna watu wengi tunakuelewa Sanaa and we are proud to have you inside here.thank you bro.