Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Mtu atunge ili apate faida gani?Halafuu,mbona mambo yanaonekana live,itakuwaje conspiracy,hivi wewe ni mzima kweli.Ujinga huu wa kuita ukweli conspiracy na kuamini ujinga ndio uliotufikisha hapa tulipo.
Hapa tupo wapi?
 
Napata shida kuamini kwamba huyo unayejibizana naye kaelewa hizo agenda.
Agenda za watu wenye matatizo ya afya ya akili.Huyu mtu alitakiwa awe katika mental institution, ipo siku atakuja kusababisha maafa makubwa uraiani.
 
Mbona haya maneno yametolewa kwenye The Protocols of The Learned Elders of Zion 1903 ???
Malcom watu wachache sana wanajua kwamba haya mambo yapo.

Ni vema watu wakajua kwamba mabeberu si marafiki, kama wanavyodhani, ni maadui kwa hiyo wachukue tahadhari kubwa in dealing with them.
 
Siogopi mkuu,najua katika hali yeyote Bwana Yesu atanitetea.
Mkuu nikupe alert kidogo, Jesus Christ never existed...it is a mind programming, Christianity ni craation ya Melovingian society...Huwezi kupata kitu chema kutoka kanisa Katoliki ambalo hujinasibu kuleta ukristo duniani.

Ukristo uliletwa duniani na mataifa ya hawa Illuminatti wa ulaya waliotawala dunia kama Waingereza, Wafaransa, Germans, Wareno, Spain, Italy nk hawa ndo walileta ukristo na wali waua wazazi wetu wenye knowledge za maana wakaleta za kwao kwa vile hii dini ilikuwa na mafundisho ya hovyo.

Ukatoliki na agents wake waliendesha Mateso/Inquisition kwa wote wenye kukataa mafundisho yaliyobuniwa kama dini ya ukristo. Kwa sababu hiyo ukristo ni dini bandia yenye kuharibu akili.

Note:
Hawa illuminatti ndo walileta dini duniani, dini za Kiislamu, Hindu nk zililetwa na Illuminati wa matsifa hayo.
Hivyo basi dini yoyote sio nzuri, binadamu hahitaji kuwa na dini kwa sababu sio asili yake
 
Aiseee..Umekuwa mkali sana mkuu, let him believe what he believes. Mfano mimi siamin in freemasons and such kind of bulshit vyote naviona ni kama some stupid hoax, yan naonaga ni mavitu yanawekwa www ili yapopulate tu internet ili algorithms za google na the likes zi pileup..Wametengeneza mbinu kali sana ya kupata pesa, yan wanatuuzia habari za kizush zinatupotezea pesa na muda..Ndio mana muda mwingine if you want to concentrate on your Major stay off the grid(switch off the Data button)..
Sasa huoni na wewe pia unam ridicule mtoa mada kwa sababu mind yako imeshindwa ku comprehend ukweli wa bango lenyewe.
Mimi naelewa kila sentensi iliyoandikwa na karibu 99% ya kila line imetimia! That is a prophecy
 
It's depends on your goals and how you define "win the battle" If your goal and commitment is to die in hell with satan & some friends, I cannot say you have lost the battle if that happens.

Katika vita, kuna wakati kifo ni sehemu ya ushindi. Uhuru, kushinda na kushindwa kunategemeana na malengo ya kivita ya mpiganaji husika.

Hata sasa upo huru kuchagua kutokutii mipango ya hawa uliowaandika huku ukijua matokeo yake, na matokeo yatakapokupata still wewe ni mshindi.
Atakayekuambia wewe si mshindi ni yule ambaye ana malengo tofauti na wewe.
Wars hazitakiwi kupiganwa, waache wapigane wengine, utakuwa mshindi sana usipokuwa na hofu ya vita wala kifo, uki respond kupigana vita basi umeshashindwa.

Kwa mujibu wa hilo bango la mtoa mada ni kuwa.

Don't cooperate!!!
 
Matatizo unayopitia sio kwa sababu yamepangwa na mabeberu, ni kwa sababu wewe na wanaokuzunguka kwenye maisha yako mna akili ndogo isiyoweza kutatua mambo na kushirikiana kutumuia fursa mlizo nazo vizuri.
umekurupuka ku-comment. sidhani kama umesoma hata paragraph tatu za hiyo covenant ya wafuasi wa new world order. elimu elimu elimu.
 
Hizi ndo topic za kukaa jamii intelligence....
Zinahitaji deep thinking ya kiwango cha juu sana.
Mimi kama mimi nilishazifatilia sana mwisho wa siku nikavutiwa zaidi na agenda zao na kutamani sana kujiunga nao.
Kwa sababu wana mengi mazuri wanayotufanyia kuliko mabaya yao ambayo mengi ni ya kusadikika tu.
Mfano IMF ni part ya new world order wameipatia tanzania 1.2 trillion tsh hili ni la kuwashukuru sana wao kwa maana hatukuwa na sehemu ya kupata hiyo hela ya bure
Mkuu akupa mfano mzuri, nini lengo la kuwa na mfugo nyumbani?

Najua utaniambia kwa ajili ya nyama, mayai, maziwa , ngozi nk..na hiyo mifugo unaitunza vizuri ili ikupatie hayo mahitaji!

Mifugo ulivyoijengea banda ili wasilowane na mvua hudhani wewe unayefuga unaipenda!!! Kumbe wewe una malengo na product zao pamoja na nyama.

Yenyewe haina habari lakini mwisho wao ni kuchinjwa na kuliwa nyama,
Huo mfano ni sawa na sisi binadamu, IMF wametupa pesa za makaratasi kiasi cha 1.2trl, wananchi tunashukuru kijinga tu. Hizi pesa ni mkopo ambao wananchi wataulipa kwa kuongezewa tax kwenye bidhaa zao wanazotumia.
Nakupa ushauri usome hiki kitabu Kinaitwa; "A monster from Jerkyll Island" ujue how Money is created, na ukwelli huo hauruhusiwi kujulikana na public.
 
Kufuatilia maconspiracy kunaweza kukupa mtu wehu. Nyingi ni mambo ya kutungwa na matapeli.
Acha ujinga ndugu yangu, kilichoandikwa hakuna hata kimoja ambacho hakifanyi kazi ; naweza sema ni unabii unaotimia mbele ya macho yetu sio macho yako hayo mawili, bali macho ya ndani yaonayo...mkuu kama huoni omba kuonyeshwa wa kila kinachoendelea.
 
Kwa hiyo hayo waliyo orodhesha kwamba watafanya dhidi yetu ukilingasha na uzuri wao inalipa!Dah,akili mbovu kabisa hizi.Kwa hiyo tuwaache watuue for their money!
Nani amekufa kwa sababu ya hela ya covid 19?
Samia kazipokea na amejenga shule mpya 1000 na mdarasa 15000.
Kitu ambacho unapaswa kuelewa ni kuitumia hiyo akili yako in most positive way ipatie content za maana zenye kukupa hela
Jifunze
Machine learning
Cryptocurrency
Blockchain
Freelancing
Copywriting
Book review

Hayo maconspiracy theories hayakupi hela zaidi ya ku drain energy yako kwa kubishana na watu humu jamii forums.

Fid Q anakuambia "kama haimake hela basi hai make sense"

Conspiracy theories hazinaga maisha marefu kwenye internet
Google kuanzia 2019 walianza ku block website zote zinazosambaza upuuzi wa hivi.
Youtube pia walishafanya hivyo kwa kufuta video zote zinazoelezea conspiracy theories za covid 19.

Huu ulimwengu wa karne ya 21 unahitaji scientific evidence katika chochote unachosema ukinprove scientifically.

Je hizo conspiracy theories unazozihubiri unaweza kuzithibitisha through scientific procedures?
Jibu ni hapana.

Ukiinga deep katika conspiracy theories zinazalisha maswali mengi kuliko majibu na zinakosa hoja zenye mashiko.

Mfano mzuri ni conspiracy theorist wali predict 21/2012 ndo mwanzo wa new world order je ni kweli huo mwaka NWO ilianza? Jibu ni hapana.
 
"we will keep their lifespan short and their minds weak while pretending to do the opposite"
Lifespan ya mwanadamu imekuwa inaomgezeka tangu karne ya 19, pia akili za mwanadamu zimezidi kuongezeka tangu awepo duniani,tangu karne ya 19 akili za jamii kubwa ya mwanadamu zimeongezeka kwa kasi zaidi kuliko kipindi kingine chochote na ushahidi uko wa kutosha na kubaki.
 
Mkuu akupa mfano mzuri, nini lengo la kuwa na mfugo nyumbani?
Najua utaniambia kwa ajili ya nyama, mayai, maziwa , ngozi nk..na hiyo mifugo unaitunza vizuri ili ikupatie hayo mahitaji!!

Mifugo ulivyoijengea banda ili wasilowane na mvua hudhani wewe unayefuga unaipenda!!! Kumbe wewe una malengo na product zao pamoja na nyama.
Yenyewe haina habari lakini mwisho wao ni kuchinjwa na kuliwa nyama,
Huo mfano ni sawa na sisi binadamu, IMF wametupa pesa za makaratasi kiasi cha 1.2trl, wananchi tunashukuru kijinga tu. Hizi pesa ni mkopo ambao wananchi wataulipa kwa kuongezewa tax kwenye bidhaa zao wanazotumia.
Nakupa ushauri usome hiki kitabu unaweza kukipata www.pdfdrive.com
Kinaitwa;
"A monster from Jerkyll Island" ujue how Money is created, na ukwelli huo hauruhusiwi kujulikana na public.
TUMEKOPA ILI KUTUSAIDIA KUKABILIANA na athari za janga la Covid 19.
Kurudisha deni siyo kosa kaka.Tushukuru kupewa huo mkopo hapa hakuna cha ajabu chochote.
Usiishi kwa kujitengenezea hofu zisizokuwa na maana yeyote.

Taasisi za kimataifa za kifedha zinatoa support kwa nchi maskini duniani kote especially kipindi hiki kigumu cha covid 19

Pitia hizi link kuhusu huo mkopo alafu uniambie ubaya wa IMF uko wapi.
 
Sawa hata kama yameandikwa humo! Issue ni content yake, je ina ukweli? Kama ukweli upo hebu tutafakari kwa kina na kuchukua hatua
Hakuna hatua yoyote unaweza chukua, utabaki unabwabwaja tu humu JF na mtaani kwako huku mabeberu wakisonga mbele na kukuacha wewe na jamii yako mbali kwenye ulimwengu wa giza la maarifa na teknolojia.
 
Lifespan ya mwanadamu imekuwa inaomgezeka tangu karne ya 19, pia akili za mwanadamu zimezidi kuongezeka tangu awepo duniani,tangu karne ya 19 akili za jamii kubwa ya mwanadamu zimeongezeka kwa kasi zaidi kuliko kipindi kingine chochote na ushahidi uko wa kutosha na kubaki.
Hiki kipindi akili ya biandamu imekuwa sana kaka.
Leo anawasiliana na wewe remotely na wireless nikiwa eneo jingine la nchi.
Leo tunafanya operation za moyo.
Binadamu anajiandaa kwenda mars.
Binadamu anasafiri kwa kutumia usafiri wa ndege.
Binadamu ameendelea kiteknolojia kuliko kipindi chochote katika historia ya ulimwengu huu.

Ulimwengu umezidi kuwa bora kuliko kipindi chochote katika historia.

Conspiracy theorist acheni kututisha tunakoenda ni bora zaidi kuliko tunakotoka katika nyanja zote za kiuchumi,kiafya,kijamii na kisayansi pia.
 
Nani amekufa kwa sababu ya hela ya covid 19?
Samia kazipokea na amejenga shule mpya 1000 na mdarasa 15000.
Kitu ambacho unapaswa kuelewa ni kuitumia hiyo akili yako in most positive way ipatie content za maana zenye kukupa hela
Jifunze
Machine learning
Cryptocurrency
Blockchain
Freelancing
Copywriting
Book review

Hayo maconspiracy theories hayakupi hela zaidi ya ku drain energy yako kwa kubishana na watu humu jamii forums.

Fid Q anakuambia "kama haimake hela basi hai make sense"

Conspiracy theories hazinaga maisha marefu kwenye internet
Google kuanzia 2019 walianza ku block website zote zinazosambaza upuuzi wa hivi.
Youtube pia walishafanya hivyo kwa kufuta video zote zinazoelezea conspiracy theories za covid 19.

Huu ulimwengu wa karne ya 21 unahitaji scientific evidence katika chochote unachosema ukinprove scientifically.

Je hizo conspiracy theories unazozihubiri unaweza kuzithibitisha through scientific procedures?
Jibu ni hapana.

Ukiinga deep katika conspiracy theories zinazalisha maswali mengi kuliko majibu na zinakosa hoja zenye mashiko.

Mfano mzuri ni conspiracy theorist wali predict 21/2012 ndo mwanzo wa new world order je ni kweli huo mwaka NWO ilianza? Jibu ni hapana.
Mkuu umeeleza vizuri sana! Lakini be Csrefully conspiracy ipo na inafanya kazi, na kwa nini hizi information zinafutwa na Google na nknk? Nani anamiliki GOOGLE ni hawa hawa our manipulators, Elites, Illuminatti na Aristocrat..

Natamani ni expand hilo bango ili kuthibitisha conspiracy inayoendelea..
Hizo agenda za pesa na kutafuta utajiri ni mbinu za kukupoteza usione uhalisia, na ni kweli nakuona you are Trapped in a conspiracy na unaitetea sasa...
 
Mmekutana kiazi na muhogo.
Mkuu nikupe alert kidogo, Jesus Christ never existed...it is a mind programming, Christianity ni craation ya Melovingian society...Huwezi kupata kitu chema kutoka kanisa Katoliki ambalo hujinasibu kuleta ukristo duniani.
Ukristo uliletwa duniani na mataifa ya hawa Illuminatti wa ulaya waliotawala dunia kama Waingereza, Wafaransa, Germans, Wareno, Spain, Italy nk hawa ndo walileta ukristo na wali waua wazazi wetu wenye knowledge za maana wakaleta za kwao kwa vile hii dini ilikuwa na mafundisho ya hovyo...Ukatoliki na agents wake waliendesha Mateso/Inquisition kwa wote wenye kukataa mafundisho yaliyobuniwa kama dini ya ukristo.
Kwa sababu hiyo ukristo ni dini bandia yenye kuharibu akili.

Back
Top Bottom