Mkuu akupa mfano mzuri, nini lengo la kuwa na mfugo nyumbani?
Najua utaniambia kwa ajili ya nyama, mayai, maziwa , ngozi nk..na hiyo mifugo unaitunza vizuri ili ikupatie hayo mahitaji!!
Mifugo ulivyoijengea banda ili wasilowane na mvua hudhani wewe unayefuga unaipenda!!! Kumbe wewe una malengo na product zao pamoja na nyama.
Yenyewe haina habari lakini mwisho wao ni kuchinjwa na kuliwa nyama,
Huo mfano ni sawa na sisi binadamu, IMF wametupa pesa za makaratasi kiasi cha 1.2trl, wananchi tunashukuru kijinga tu. Hizi pesa ni mkopo ambao wananchi wataulipa kwa kuongezewa tax kwenye bidhaa zao wanazotumia.
Nakupa ushauri usome hiki kitabu unaweza kukipata
www.pdfdrive.com
Kinaitwa;
"A monster from Jerkyll Island" ujue how Money is created, na ukwelli huo hauruhusiwi kujulikana na public.