Have You Ever.......

Tatizo watu wanayachukulia mapenzi vere serious wakati wanajua kuna probability ya kuumizwa! wanafizikia wanasema "ukikosea formula hauwezi kupata jawabu sahihi hata kama wewe ni mjukuu wa newton", achilia mbali mjukuu mtiifu lol(ni joke tu, mjukuu mtiifu usije ukanianzishia sredi).
 
AMBAYE HAJAWAHI KUUMIZWA KIMAPENZI NI YULE AMBAYE HAJAWAHI KUPENDA,
bali yeye anatamani tu...l....ol
nnunu umenikumbusha swali ambalo sometimes linanisumbua sana ............can any one tell me the feeling of being in love? Unajuaje uko in love na sio tamaa?
 
AMBAYE HAJAWAHI KUUMIZWA KIMAPENZI NI YULE AMBAYE HAJAWAHI KUPENDA,
bali yeye anatamani tu...l....ol

hivi maana ya kupenda ina sharti la kuumizwa? naomba ufafanuzi kabla sijatumia ulawyer wangu kupinga hii hoja.
 
yaani kaka you are very right...tunayachukulia mapenzi very serious na hii si kwamba ndio kwanza ninaisikia but najaribu tu kuielewa tena natumia nguvu nyingi kweli nielewe.....

How can you trully love someone and yet umdoubt??

Ninathubutu kukiri kuwa mimi ni mmoja wao wa wanaoyachukulia mapenzi seriously, very serious.....nadhani ndio maana sometook advantage of me au am doing things seriously so ninaposhindwa kupata satisfaction in terms of returns ninaamua kuquit.
how do you do that please share with us please.

Wewe, MTM na wengineo mmelisema hili la kuchukulia mapenzi serious ningeomba mnisaidie.
 
So maty unataka kusema sometimes ni adhabu kutoka kwa MUNGU kwa kuwa ulishawahi kumtenda mwingine?? na je kutenda huko unakozungumzia wewe kukoje kutompenda back mtu anayekupenda? au

Sidhani kama ni adhabu kutoka kwa Mungu my dia, kwani hapa nimezungumzia yule ambae humpendi ila sio kwa kumkomoa bali imetokea tu tena ameshakua ni mpenzi wako yaani mmeshagusanisha kitasa na funguo, ila kadri siku ziendavyo unajikuta kwamba wala humpendi so unaamua kujitoa, lakini mwenzio atadhani umemfanyia makusudi yaani umemtenda.

Na wewe hivyo hivyo unakua na uhusiano na mtu akidhani anakupenda baada ya muda anaona kwamba mh! moyo wake na wako havichangamani so anaamua kujivua gamba lakini wewe hapo unaona lol hili limtu limenitenda kumbe wala hana nia mbaya ila hana jinsi.

Nadhani kinachotokea huwa tunapenda ambako siko, na watu ni wagumu kusema ukweli kwamba mwenzangu nimejitahidi nimeona sikupendi na inakua kwa sababu Kwa msichana pengine kuna kitu anataka tu kutoka kwa huyo mwanaume halafu baada ya muda anasepa, kwani akisema mapema atakosa akitakacho na kwa mwanaume hivyo hivyo ila inawezekana mahitaji yanatofautiana tu.

Matokeo yake kila mtu anaenda kujigandisha tena kwa asiempenda basi ndio inakua hivyo hivyo mradi siku zinaenda.
 
Nadhani kila mtu anapenda kupenda sema tatizo ni kwamba tunapenda wasiopendeka!!
kupenda wasiopendekea sio tatizo coz you can always review your decision after a while... the bigger problem is thet love that stands a taste of time consistently

I dont have that one.... i have always experienced the tidal love which when low, is really low but when come high... huuuuuh, its cloud nien and above, AND I LOVE IT LIKE THAT

Given a chance....:tonguez:
 
Basi wambea ndo waondoke!
wao hawaumii na wanafurahia hizo scenario, muhame nyinyi mnaolalamika kuumizwa. acha nisiende deep kwenye hizi ishu za uswahilini CCM watakosa kura. turudi kwenye "have u ever?" by Mjukuu mtiifu
 
nnunu umenikumbusha swali ambalo sometimes linanisumbua sana ............can any one tell me the feeling of being in love? Unajuaje uko in love na sio tamaa?
Mhhhh mwenyewe nimejiuliza hilo swali sipati jibu
....,nadhani mara nyingi hua tunachanganya kutamani na kupenda ndo maana hatuishi kulia hata pale isipostahili!
 
I alwayds knew that you are something special, and i am right aisee!!:A S 103:
 
Mhhhh mwenyewe nimejiuliza hilo swali sipati jibu
....,nadhani mara nyingi hua tunachanganya kutamani na kupenda ndo maana hatuishi kulia hata pale isipostahili!
........... naam, sasa umeanza kukua, safi sana bado kidogo tu :mimba:
 

Mi nahitaji twisheni I see...........kweli tena
 
Seen!

Hey wouldn‘t it be great to live on cloud nine!Kila kitu kingeonekana bora zaidi duniani......
 
wao hawaumii na wanafurahia hizo scenario, muhame nyinyi mnaolalamika kuumizwa. acha nisiende deep kwenye hizi ishu za uswahilini CCM watakosa kura. turudi kwenye "have u ever?" by Mjukuu mtiifu
Alafu tukishahama wataboreka watufuate.... then what???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…