hahahaaaaaaaa..... hii kalihehehe, fellow tablet, umesibitisha kama ni jinsia inayobeba ujauzito?, juzi fesbuk nilipanda mkenge nikatongoza shemale aisee. nimefuta akaunti yangu ya fesbuku until faza notice.
Sawa kaka ngoja nianze tena kupalilia ............duhmdogo wangu, tembo haelemewi na mkonga wake... ukiona umelemewa na magugu ujue kuna jambo.... either umeshindwa kupalilia, au hujali mazao hayo
:mod:
Kwahiyo kwakuwa mi napenda bia, mi ni mgonjwa wa alkoholi?
Njoo kwa baba Mchungaji upate kumbatio la moyo!
Lizzy darling umeambiwa mapenzi usiyachukulie serious sana so unapoanza kufikiria whether litadumu au lah unaanza kuwa serious.....lolLitadumu????
Hilo ni tatizo kweli maana mapenzi hayatambuliki kirahisi......ukichanganyia na usanii wa siku hizi ndo kabisaaa rangi yekundu itageuzwa nyeupe mpaka uje kugundua umeshazama!Unajua Lizy, kuna watu bado hawajui wapi wanapendwa na wapi hupendwi hii ndo inakuja inasababisha maumivu, maana kuna vitu tu watu wanafikiri mpenzi wako asipokufanyia basi hakupendi na kuna sehemu unafanyiwa hivyo vitu ukajua hapa ndo napendwa kwenmbe mwenzio ni anacheza na wewe.!! kwa hiyo some times tunajitakia tu kuumizwa.
Hahhahah nataka kujua hako kajoto ntakapata kwa muda gani ili ni-take full advantage!!!Lizzy darling umeambiwa mapenzi usiyachukulie serious sana so unapoanza kufikiria whether litadumu au lah unaanza kuwa serious.....lol
halaf sjui kwanini siku hizi nikiona sredi za mjukuu mtiifu sku hizi mapigo ya moyo yanaongezeka na nakuwa natoka kijasho chembamba hata kama ni winter na kuna snow, why? why lakini?, acha nikaanzishe sred JF Doctor.Hahahaha.........basi hebu ngoja nikapitie sredi zake...kama mwandiko wake umelala kushoto atakuwa demu, ukilala kulia litakuwa dume, Ukisimama katikati nami najitoa FB (Soma katikati ya mistari hapo)
But darling sometimes you reap what you havent saw............you reap them magugu ambayo hukuyapanda.umepanda love unategemea kuvuna love but unajikuta magugu yamekuwa katikati ya love na you end up picking them instead of love MTM.kweli ninakwambia!! In my life nimeexperience hili in two most crucial relationships that I believed (amd stil am) sawing love but end up reaping nothing but magugu (sometimes najiuliza may be its a punishment kama asemavyo Maty)
Litadumu????
My dia mimi sidhani kama ni punishment, yaani kuna kitu nimejifunza kabisa sasa siwezi mlaumu mtu eti amenitenda tena niliowahi kumlaumu anatosha kabisa.
Kama mtu ananifuata na utu uzima huu (sikilizeni kwa makini wadada mlioko kati ya 18 mpaka 29) mtu amekufuata hajakubaka mmeenda enda baadae akajiondokea zake basi chukulia huyo hakupangwa kuwa wako.
Ndio maana nikasema jiulize wewe hujawahi mkataa mtu? na yeye mpe uhuru wa kukukataa kama na wewe ulivyokataa uko tena kwa uzuri tu. Itakuwa punishment kama uliowakataa uliwakataa kwa kuwakomoa lakini kama hukuwakataa kwa kuwakomoa jua kwamba hata huyo anaekukataa sasa hakukomoi imetokea tu hawezi endelea na wewe (kwani inasemwa kipimo unachopima ndio utachopiwa)/
Mimi sasa hivi naishi kwa amani sana baada ya kuligundua hili, nikiona dalili za kutoswa tu naanza kurefer nyuma mbona na mimi nilifanyaga hivi, poa maisha yaendelee tu, namuachilia aende hata kabla hajaaga jumla.
Naamini kabisa kila jambo unalolitenda katika haya maisha ndivyo linavyorudi liwe zuri au baya kila mtu anavuna alichopanda hapa hapa duniani (jaribuni kujichunguza kwa makini halafu mtanielewa)
Itategemeana na juhudi zako za kudumisha lol!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Rev umeniangushaItategemeana na juhudi zako za kudumisha lol!
Hahhahha ntalinyeshea na kupalilia kila siku asubuhi na jioni!!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Rev umeniangusha
Juhudi zake tena na si za wote waeili mpenzi??
halaf sjui kwanini siku hizi nikiona sredi za mjukuu mtiifu sku hizi mapigo ya moyo yanaongezeka na nakuwa natoka kijasho chembamba hata kama ni winter na kuna snow, why? why lakini?, acha nikaanzishe sred JF Doctor.
turudi kwenye mada bana kabla mjukuu mtiifu hajakasirika akasusa kuquote post zetu.