Have You Ever.......

Have You Ever.......

Jukwaa la siasa limekosa wachangiaji! Ngoja nisepe kwa muda
 
hehehe, fellow tablet, umesibitisha kama ni jinsia inayobeba ujauzito?, juzi fesbuk nilipanda mkenge nikatongoza shemale aisee. nimefuta akaunti yangu ya fesbuku until faza notice.
hahahaaaaaaaa..... hii kali

yani umechenji noti kwa pipi ya ntoto, fufua account aisee, huyo shemale mtaftie donkey, harudi tena
 
mdogo wangu, tembo haelemewi na mkonga wake... ukiona umelemewa na magugu ujue kuna jambo.... either umeshindwa kupalilia, au hujali mazao hayo

:mod:
Sawa kaka ngoja nianze tena kupalilia ............duh
 
Unajua Lizy, kuna watu bado hawajui wapi wanapendwa na wapi hupendwi hii ndo inakuja inasababisha maumivu, maana kuna vitu tu watu wanafikiri mpenzi wako asipokufanyia basi hakupendi na kuna sehemu unafanyiwa hivyo vitu ukajua hapa ndo napendwa kwenmbe mwenzio ni anacheza na wewe.!! kwa hiyo some times tunajitakia tu kuumizwa.
Hilo ni tatizo kweli maana mapenzi hayatambuliki kirahisi......ukichanganyia na usanii wa siku hizi ndo kabisaaa rangi yekundu itageuzwa nyeupe mpaka uje kugundua umeshazama!
 
Lizzy darling umeambiwa mapenzi usiyachukulie serious sana so unapoanza kufikiria whether litadumu au lah unaanza kuwa serious.....lol
Hahhahah nataka kujua hako kajoto ntakapata kwa muda gani ili ni-take full advantage!!!
 
Hahahaha.........basi hebu ngoja nikapitie sredi zake...kama mwandiko wake umelala kushoto atakuwa demu, ukilala kulia litakuwa dume, Ukisimama katikati nami najitoa FB (Soma katikati ya mistari hapo)
halaf sjui kwanini siku hizi nikiona sredi za mjukuu mtiifu sku hizi mapigo ya moyo yanaongezeka na nakuwa natoka kijasho chembamba hata kama ni winter na kuna snow, why? why lakini?, acha nikaanzishe sred JF Doctor.

turudi kwenye mada bana kabla mjukuu mtiifu hajakasirika akasusa kuquote post zetu.
 
But darling sometimes you reap what you havent saw............you reap them magugu ambayo hukuyapanda.umepanda love unategemea kuvuna love but unajikuta magugu yamekuwa katikati ya love na you end up picking them instead of love MTM.kweli ninakwambia!! In my life nimeexperience hili in two most crucial relationships that I believed (amd stil am) sawing love but end up reaping nothing but magugu (sometimes najiuliza may be its a punishment kama asemavyo Maty)

My dia mimi sidhani kama ni punishment, yaani kuna kitu nimejifunza kabisa sasa siwezi mlaumu mtu eti amenitenda tena niliowahi kumlaumu anatosha kabisa.

Kama mtu ananifuata na utu uzima huu (sikilizeni kwa makini wadada mlioko kati ya 18 mpaka 29) mtu amekufuata hajakubaka mmeenda enda baadae akajiondokea zake basi chukulia huyo hakupangwa kuwa wako.

Ndio maana nikasema jiulize wewe hujawahi mkataa mtu? na yeye mpe uhuru wa kukukataa kama na wewe ulivyokataa uko tena kwa uzuri tu. Itakuwa punishment kama uliowakataa uliwakataa kwa kuwakomoa lakini kama hukuwakataa kwa kuwakomoa jua kwamba hata huyo anaekukataa sasa hakukomoi imetokea tu hawezi endelea na wewe (kwani inasemwa kipimo unachopima ndio utachopiwa)/

Mimi sasa hivi naishi kwa amani sana baada ya kuligundua hili, nikiona dalili za kutoswa tu naanza kurefer nyuma mbona na mimi nilifanyaga hivi, poa maisha yaendelee tu, namuachilia aende hata kabla hajaaga jumla.

Naamini kabisa kila jambo unalolitenda katika haya maisha ndivyo linavyorudi liwe zuri au baya kila mtu anavuna alichopanda hapa hapa duniani (jaribuni kujichunguza kwa makini halafu mtanielewa)
 
Maty unamwandiko mzuri sana! Nimependa unavyochonga S zako
 
ngoja nichote toka kwnye kitabu changu........

mwili mmoja bain ya watarajiwa katika ndoa huwa hauji siku wawili hao wakisimama mbele ya madhabahu na padre/mchungaji akasema ninyi ni mwili mmoja......mwili mmoja huwa ni process ndefu sana..kuanzia uchumba hadi ndoa....ndio maana kaika ndoa nyinga utakuwa wana ndoa wameishi kwa miaka ishirini na wamezaa watoto tena wakubwa lakini hufikia mahali wanandoa hao huachana.......wawili hao kwa miaka 20 wamekuwa wakiishi lakini si mwili mmoja........

ili kuufikia mwili mmoja kuna hatua mbali mbali mbali na mengi yanaweza kujitokea katika safari ya kuufikia mwili mmoja....kuvumiliana, kuchukuliana, kusameheana, kufurahi....lakini pia sababu kubwa inayowafany watu wengi kufika mahali na kuachana tena bila taarifa hapa sababu kubwa huwa ni kutokumjua mtu tabia na mienendo yake.........na kibaya zaidi mahusiano ya yajulikanayo kwa jina la CYBER MARRIAGE (mahusiano kwa njia ya simu/mtandao) ndio yamechangi kwa kiasi kikubwa watu kuachana.......maana asilimia kubwa wengi wasio waaminifu wanapoongea na wenzi wao huwa hawasemi ukweli.......mwisho wa siku mmoja anavunja mahusiano gafla na kumwancha mwenzake akilia.........na hapo ule wimbo wa Tears on my pillow....unakuwa applied!
 
Samahami kwa kuwarudisha nyuma............From the posts inaonekana wazi kuwa ji vema kusurrender iwapi you feel that the person you love is already taken.......je kama hajakuwa taken leggaly....kwa maana ya official ndoa......unaruhusiwa kurusha karata yao au nacho ni marufuku??
 
Katiba mabandiko yote niliyoyapitia.........nimejikuta mimi ni mshamba tena mshamba wa kutupwa. Sielewi nitakuwa kwenye mapenzi vipi na nisionyeshe hisia zangu, sielewi ni jinsi gani nimpende mtu 50% au 70% huku asilimia nyingine niweke akiba kama ikitokea nikaumizwa, sielewi jinsi gani niwe kwenye mahusiano na kama backup wakati ninamwingine kwa upande mwingine, yaani ukweli sielewi.

Ngoja kwanza niendelee kutulia maana huu ulimwengu wa dot com hata sijui upepo wake unaelekea wapi ktk maswala haya.........what a naive me!!!!lol
 
halaf sjui kwanini siku hizi nikiona sredi za mjukuu mtiifu sku hizi mapigo ya moyo yanaongezeka na nakuwa natoka kijasho chembamba hata kama ni winter na kuna snow, why? why lakini?, acha nikaanzishe sred JF Doctor.

turudi kwenye mada bana kabla mjukuu mtiifu hajakasirika akasusa kuquote post zetu.

Ngoja mi niende jukwaa la Siasa nikawaumize watu vichwa.... Sijatibia maumivu ya kichwa siku nyingi

Mjukuu mtiifu tafazali naomba usipuuze hizi posts zetu...tugongee senksi na ma likes kuthibitisha mapenzi yako kwetu.........Hutakaa uugue kwakuwa Asprin na fellow tablet wataweka kambi kwenye mwili wako kupambana na maadui (Usihofu hatutakaa kwenye baiolojia yake isije ikapata Have You Ever infection)
 
Back
Top Bottom