Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
AahhaaaaaYaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap.
Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani?
Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu?
Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
Inter wamepata tutaAahhaaaaa
Waombe waishie hapo hapo
VAR checkingInter wamepata tuta
Wanasema kaumiaMtu kama leao anawekwa benchi anaanza giroud hawa makocha aisee
Pirlo aliitwa the brain of milanNi mchongo tu milan ni moja tu Inter ile AC ilishajichokea baada ya utawala wa kina Pirlo walimuacha Pirlo kwa kigezo cha uzee alaf mwamba akaenda kukiwasha Juventus na akawa mchezaji Bora serie A kwa misimu mi 3 mfululizo
Watazioga leoWanasema kaumia
Lilipoingia goli la pili nimerudi zangu kulala
Kwani Marumo Gallants una wachukuliaje? Yaani kila timu inayofungwa na Yanga mnaihesabia ni mbovu. Embu angalia record ya Marumo Gallants ilivyo kakatana na nani hadi kufikia hapa kwenye nusuYaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap.
Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani?
Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu?
Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
Ni Mancity ,madrd kashaumaliza mwendoFINAL INTER vs MADRID.
Kama ikiwa hivi madrid anabeba tenaFINAL INTER vs MADRID.
Hakika ila hata hivyo Uefa ya msimu huu iko moto sana.CL ya miaka ya siku hizi si kama ya miaka yetu wakulungwa.