Hawa Ac Milan wamefikaje nusu fainali ya UEFA?

Hawa Ac Milan wamefikaje nusu fainali ya UEFA?

Unashangaa wakati hao Ni Kama Yanga ya hapa Tz yaani kibahati tu na kupangiwa vibonde
 
Yaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap.

Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani?

Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu?

Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
Safar Yao wote Inter na Ac Milan walipitia njia nyepes sana nahis ulikuwa mpango maalum wa UEFA kuwakutanisha vigogo kivyao na wachovu kivyao
 
uwe unafatilia mashindano badala ya kurupuka kutoa uzi kama usingefatilia toka mwanzo usingekuja na huu utumbo
 
Hiyo game hata haikuwa na mvuto Milan sijui alimtoaje Napoli....
 
Siku Yao ilikuwa mbaya, ila mnyororo wa inter 3-5-2 ukikubali kwenye mechi dhahama unayo, kina nicolo barella na Di Marco mhhhhh, Kuna yule mturuki uso wa mbuzi anakandamiza ilo gozi, hizi knockout matches ni startegies na mentality tu, siyo marathon ya ligi mechi kibao, timu zenye wachezaji wenye mentality na strategies zilizokomaa wanakufunga huku unajiona, unaishia kusema tu mbona ac Milan wazembe hivi.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
uwe unafatilia mashindano badala ya kurupuka kutoa uzi kama usingefatilia toka mwanzo usingekuja na huu utumbo
5F857E35-3345-4AAA-98CC-DCD1CB0FDD46.jpeg
 
Back
Top Bottom