Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.
 
Last edited by a moderator:

hawa jamaa sio wauongo tatizo ni moja tu
chaj ya kusafirisha ni mara 10 mpaka 20 ya bei ya kulifikisha hapa kwa nyerere
imagne gari ni dola 200 hadi 400 mpaka lifike ni dola 1400 sasa hapo ujalipia ushuru na takataka zingine
 
mkuu katika CIF wanabana sana aisee
 
Ukinunua kwa usd 27 mpaka kuitembelea hapa bongo utajikuta umeshatoa hadi 8m.
 
malizana na bwana Ukwaju alafu mimi nikutafute sasa
 
Last edited by a moderator:
mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani

Huyo atakuwa anamaanisha donation centre za Salvation Army za huko US...

Watu hupeleka huko vitu walivyovitumia na wasivyovihitaji na huuzwa kwa bei chee kwa wengine wenye uhitaji na wana kipato cha chini...
 
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.

Kwa Japan Be Forward ndio wanaonunua gari zilizochoka zaidi mwny minada kuliko kampuni yyt ile ya kuuza magari.

Ndio maana unakutana na gari yao unakuta hata la $20:thumbdown:
 
Huyo atakuwa anamaanisha donation centre za Salvation Army za huko US...

Watu hupeleka huko vitu walivyovitumia na wasivyovihitaji na huuzwa kwa bei chee kwa wengine wenye uhitaji na wana kipato cha chini...

sasa je na beforward ya japan kuna ushirikiano kweli hata wa kiroho tu kama wa kiwmili haupo
 
Kwa Japan Be Forward ndio wanaonunua gari zilizochoka zaidi mwny minada kuliko kampuni yyt ile ya kuuza magari.

Ndio maana unakutana na gari yao unakuta hata la $20:thumbdown:

Rene jr ya kweli haya
 
Last edited by a moderator:
masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.

Hapo bado port charges, TRA, na agent fees. Andaa dola zingine 2521 uwe na uhakija wa kuiweka gari barabarani
 
Last edited by a moderator:
Hapo bado port charges, TRA, na agent fees. Andaa dola zingine 2521 uwe na uhakija wa kuiweka gari barabarani

mpaka gari inaingia mikononi mwako mil6 au 7
sasa kumbuka japan ilikua $27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…