Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.
 
Last edited by a moderator:
upoa sahihi Dada wa kimasai hawa Be forward si wakweli kabisa km ulivyosema hiyo ni bei ya kwao huko Japan bado kulisafirisha na kulilipia hapa TRA TZ
kuna Noah yao ipo kwenye kila page ni nyeusi lakini ubavu wa kushoto imegongwa ipo ktk kila page nime click Qiatation yake na kujijaza

  • nimegundua ni waongo kwani hawajanijibu na kila siku wanaitangaza
  • na sasa wamesema ni punguzo kwa ajili ya Valentine wakati gari hiyo ipo tangu X-mas

hawa jamaa sio wauongo tatizo ni moja tu
chaj ya kusafirisha ni mara 10 mpaka 20 ya bei ya kulifikisha hapa kwa nyerere
imagne gari ni dola 200 hadi 400 mpaka lifike ni dola 1400 sasa hapo ujalipia ushuru na takataka zingine
 
sisi wabongo tuna matatizo, hebu sema umedanganywa nini hapo? umeambiwa wazi kabisa hiyo $27 ni FOB, upande wa kulia wanakubainishia CIF, kama una njia zingine za kulisafirisha wewe walipe hizo elfu hamsini kachukue gari lako kwenye yard yao KOBE, KYUSHU au popote lilipo halafu lisafirishe mwenyewe kwa courier umjuaye!

Na hiyo NOAH iliyokwaruzwa ni juu yako ukipenda ununue au usinunue, wangekuwa waongo wangekuficha usione kama imekwaruzwa. hiyo gari itatakiwa kufanyiwa inspection, kama mkwaruzo ni mkubwa sana inaweza kufail inspection, ikifail wakati umeshalipa wanarekebisha gari kwa gharama yao au wanakuambia uchague nyingine kwa pesa hiyohiyo. niliwahi kununua Vitz new shape ikiwa na mkwaruzo mbele, ikafail inspection wakairekebisha wao, japo iliongeza muda wa kusubiri lakini gari ilipofka bongo sikuweza hata kujua ni wapi ilikuwa na mkwaruzo, kitu kimenyooka.
mkuu katika CIF wanabana sana aisee
 
Ukinunua kwa usd 27 mpaka kuitembelea hapa bongo utajikuta umeshatoa hadi 8m.
 
with pleasure mkuu, halafu nilikuwa sijajua kama ni wewe tumekutana tena huku....lol! hiyo gari mlikuwa mmeshaomba invoice? niinbox majina mliyoombea, pia nipatie BF Number maana kuisaka bila namba itachukua muda. Mimi ntawasiliana beforward japan moja kwa moja kwa simu, kama gari bado ipo mtatumiwa invoice mara moja.

malizana na bwana Ukwaju alafu mimi nikutafute sasa
 
Last edited by a moderator:
mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani

Huyo atakuwa anamaanisha donation centre za Salvation Army za huko US...

Watu hupeleka huko vitu walivyovitumia na wasivyovihitaji na huuzwa kwa bei chee kwa wengine wenye uhitaji na wana kipato cha chini...
 
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.

Kwa Japan Be Forward ndio wanaonunua gari zilizochoka zaidi mwny minada kuliko kampuni yyt ile ya kuuza magari.

Ndio maana unakutana na gari yao unakuta hata la $20:thumbdown:
 
Huyo atakuwa anamaanisha donation centre za Salvation Army za huko US...

Watu hupeleka huko vitu walivyovitumia na wasivyovihitaji na huuzwa kwa bei chee kwa wengine wenye uhitaji na wana kipato cha chini...

sasa je na beforward ya japan kuna ushirikiano kweli hata wa kiroho tu kama wa kiwmili haupo
 
Kwa Japan Be Forward ndio wanaonunua gari zilizochoka zaidi mwny minada kuliko kampuni yyt ile ya kuuza magari.

Ndio maana unakutana na gari yao unakuta hata la $20:thumbdown:

Rene jr ya kweli haya
 
Last edited by a moderator:
masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.

Hapo bado port charges, TRA, na agent fees. Andaa dola zingine 2521 uwe na uhakija wa kuiweka gari barabarani
 
Last edited by a moderator:
Hapo bado port charges, TRA, na agent fees. Andaa dola zingine 2521 uwe na uhakija wa kuiweka gari barabarani

mpaka gari inaingia mikononi mwako mil6 au 7
sasa kumbuka japan ilikua $27
 
Back
Top Bottom