Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.
upoa sahihi Dada wa kimasai hawa Be forward si wakweli kabisa km ulivyosema hiyo ni bei ya kwao huko Japan bado kulisafirisha na kulilipia hapa TRA TZ
kuna Noah yao ipo kwenye kila page ni nyeusi lakini ubavu wa kushoto imegongwa ipo ktk kila page nime click Qiatation yake na kujijaza
- nimegundua ni waongo kwani hawajanijibu na kila siku wanaitangaza
- na sasa wamesema ni punguzo kwa ajili ya Valentine wakati gari hiyo ipo tangu X-mas
mkuu katika CIF wanabana sana aiseesisi wabongo tuna matatizo, hebu sema umedanganywa nini hapo? umeambiwa wazi kabisa hiyo $27 ni FOB, upande wa kulia wanakubainishia CIF, kama una njia zingine za kulisafirisha wewe walipe hizo elfu hamsini kachukue gari lako kwenye yard yao KOBE, KYUSHU au popote lilipo halafu lisafirishe mwenyewe kwa courier umjuaye!
Na hiyo NOAH iliyokwaruzwa ni juu yako ukipenda ununue au usinunue, wangekuwa waongo wangekuficha usione kama imekwaruzwa. hiyo gari itatakiwa kufanyiwa inspection, kama mkwaruzo ni mkubwa sana inaweza kufail inspection, ikifail wakati umeshalipa wanarekebisha gari kwa gharama yao au wanakuambia uchague nyingine kwa pesa hiyohiyo. niliwahi kununua Vitz new shape ikiwa na mkwaruzo mbele, ikafail inspection wakairekebisha wao, japo iliongeza muda wa kusubiri lakini gari ilipofka bongo sikuweza hata kujua ni wapi ilikuwa na mkwaruzo, kitu kimenyooka.
Ukinunua kwa usd 27 mpaka kuitembelea hapa bongo utajikuta umeshatoa hadi 8m.
niliwachukiaga tu mliponinyimaga udereva
with pleasure mkuu, halafu nilikuwa sijajua kama ni wewe tumekutana tena huku....lol! hiyo gari mlikuwa mmeshaomba invoice? niinbox majina mliyoombea, pia nipatie BF Number maana kuisaka bila namba itachukua muda. Mimi ntawasiliana beforward japan moja kwa moja kwa simu, kama gari bado ipo mtatumiwa invoice mara moja.
mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani
haha mimi jili apply nikapata
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.
Huyo atakuwa anamaanisha donation centre za Salvation Army za huko US...
Watu hupeleka huko vitu walivyovitumia na wasivyovihitaji na huuzwa kwa bei chee kwa wengine wenye uhitaji na wana kipato cha chini...
hongera shoga tukumbukane basi japo kwa tunauli TWA kuzungushia cv
masai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.
Huo ndio ukweli masai dada, sijakurupuka hata kidogo
Hapo bado port charges, TRA, na agent fees. Andaa dola zingine 2521 uwe na uhakija wa kuiweka gari barabarani
mpaka gari inaingia mikononi mwako mil6 au 7
sasa kumbuka japan ilikua $27