Hawa China Tanzania Security wanaolinda mwendokasi siku hizi ni kina nani?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Hawa China Tanzania Security ni kina nani wanalinda mwendokasi siku hizi?

Maana BRT ilikua security ni Suma JKT sasa hawa wametokea wapi na ni kina nani?
 
Wewe ndio hauelewi china tanzania security wameanza na mwendokasi bado inajengwa hadi ikakamilika walikua wanalinda kampuni ya ujenzi wa mwendokasi wakapata tenda pia mwendokasi sasa jiwe ndio aliwatoa mwendokasi maana alitaka ofisi zote za uma walinde suma sasa naona jiwe hayupo wamerudisha CT, CT ni wa muda sana BRT

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
... SUMA JKT aka "viroboto" hawana tena god father kwa maoni ya Nape Mnauye (MB)
 
Hawa China Tanzania Security ni kina nani wanalinda mwendokasi siku hizi?

Maana BRT ilikua security ni Suma JKT sasa hawa wametokea wapi na ni kina nani?
Ni walinzi wa kutoka chama mboga mboga ninavyojua, mwenye taarifa ya tofauti atufahamishe hapa, kwa ajili ya kutujulisha na kujua ukweli na uwazi, na thamani ya pesa za walipa Kodi.
 
Wewe ndio hauelewi china tanzania security wameanza na mwendokasi bado inajengwa hadi ikakamilika walikua wanalinda kampuni ya ujenzi wa mwendokasi wakapata tenda pia mwendokasi sasa jiwe ndio aliwatoa mwendokasi maana alitaka ofisi zote za uma walinde suma sasa naona jiwe hayupo wamerudisha CT, CT ni wa muda sana BRT

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Wewe nae muongo hao china hawajawai kutolewa hapo! Wapo toka mwanzo na hawajai toka...jamani acheni kusingizia watu hata sisi twa tumia mwendokasi tunawaona na hawajawai toka
 
Back
Top Bottom