Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Haahaahaa katamu balaaa hapo ujue cowboy anaizingusha risasi ikae chemba kwenye revolverNakupenda kale ka muziki ka mluzi
Kaka hio movie ni balaa halafu ni ndefu sijawahi kuiangalia yote in one sitting. Ni nadra sana kukuta movie kali halafu ndefu.Sasa Kuna hii nyingine inaitwa The Hateful Eight, yani humo kuna wahuni kama 8 hivi wakiwemo bounty hunters, most wanted na wapita njia wamekutana wote sehemu moja baadhi yao hawajuani, ila kwa wale wanaojuana ilibidi wajifanye kutojuana ili kukamilisha uhuni wao (kumuokoa muhuni mwenzao most wanted demu fulani hivi), ila baadae baada ya wengine kuja kushtukiana na kusomana kimya kimya kuwa nani ni nani, sasa kilichobaki hapo ni full kuliana timing za kuuana tu kwa namna yoyote ile. Hii movie nayo ni ndefu na kila scene yake inabidi utulie uifuatilie vizuri ili uielewe maana kuna scene za flash back humo kuunganisha na matukio yaliyopita.
Ndio muvi kali ninayoipenda toka mdogo hadi ukubwani..napenda dialogue zao hasa ile there is two kind of peopleDah! Umenikumbusha hii Movie ni balaa aisee. Kuna zile deal za bounty hunter ambapo the good na the ugly wanazimake ambapo kuna kipindi the ugly huko nyuma alishafanyaga masoo makubwa mitaa mbali mbali so he is wanted everywhere kwa gharama yoyote ile. Wanakubaliana the good anamsubmit the ugly kule ambapo he is wanted then anachukua zake mkwanja anasepa, baadae anamuwahi kumsave kabla hajanyongwa wanaenda kugawana mkwanja. Wanaenda kwengine wanafanya hivyo hivyo tena, mwisho wa siku walishindwana kwenye mgao wakazinguana na kuja kulipiziana visasi ila katikati ya visasi wanakutana na deal lengine baab kubwa sasa hapa kwa kuwa the good anafahamu jina la kaburi vilipofukiwa viroba vya pesa huku the ugly yeye akifahamu tu yanapopatikana makaburi hayo bila kujua ni kaburi lipi ndipo wanapoamua kupotezea visasi na kujoin tena. Hii movie huwa siachagi kuirudia kuangalia, kwanza ni ndefu halafu scene zake zote ni za ukweli sana ๐ช
Hatari sana ila Spaghetti movie ni kwere unajua miaka zinaanza Hollywood waliwadharau Sana na ndio wakazipa jina la Spaghetti a.k.a Wala tambi ๐๐ kisa madirector wake ni waitalianoSasa Kuna hii nyingine inaitwa The Hateful Eight, yani humo kuna wahuni kama 8 hivi wakiwemo bounty hunters, most wanted na wapita njia wamekutana wote sehemu moja baadhi yao hawajuani, ila kwa wale wanaojuana ilibidi wajifanye kutojuana ili kukamilisha uhuni wao (kumuokoa muhuni mwenzao most wanted demu fulani hivi), ila baadae baada ya wengine kuja kushtukiana na kusomana kimya kimya kuwa nani ni nani, sasa kilichobaki hapo ni full kuliana timing za kuuana tu kwa namna yoyote ile. Hii movie nayo ni ndefu na kila scene yake inabidi utulie uifuatilie vizuri ili uielewe maana kuna scene za flash back humo kuunganisha na matukio yaliyopita.
Check na nyingine inaitwa Brimstone(2017) ni ya dakika 140.Sasa Kuna hii nyingine inaitwa The Hateful Eight, yani humo kuna wahuni kama 8 hivi wakiwemo bounty hunters, most wanted na wapita njia wamekutana wote sehemu moja baadhi yao hawajuani, ila kwa wale wanaojuana ilibidi wajifanye kutojuana ili kukamilisha uhuni wao (kumuokoa muhuni mwenzao most wanted demu fulani hivi), ila baadae baada ya wengine kuja kushtukiana na kusomana kimya kimya kuwa nani ni nani, sasa kilichobaki hapo ni full kuliana timing za kuuana tu kwa namna yoyote ile. Hii movie nayo ni ndefu na kila scene yake inabidi utulie uifuatilie vizuri ili uielewe maana kuna scene za flash back humo kuunganisha na matukio yaliyopita.
Check na nyingine inaitwa Brimstone(2017) ni ya dakika 140.
Huyu mjinga Tuco huwa anaoga na pisto ndani ya maji ๐ kuna bwege mmoja huwa anamsakaga Tuco kitambo mno alimuotea Tuco anaoga halafu akaanza kuleta maongezi mengi, Tuco alimuwasha risasi kutokea ndani ya maji. Tuco Mwenyewe Anasemaga โwhen you have to shoot, shoot! Donโt talkโTuco "the ugly" anakwambia..
"I like big fat men like you. When they fall they make more noise and sometimes they never get up! "
๐ ๐ ๐Huyu mjinga Tuco huwa anaoga na pisto ndani ya maji ๐ kuna bwege mmoja huwa anamsakaga Tuco kitambo mno alimuotea Tuco anaoga halafu akaanza kuleta maongezi mengi, Tuco alimuwasha risasi kutokea ndani ya maji. Tuco Mwenyewe Anasemaga โwhen you have to shoot, shoot! Donโt talkโ
Anakwambia..Tuco "the ugly" anakwambia..
"I like big fat men like you. When they fall they make more noise and sometimes they never get up! "
Those whit Loaded Gun and Those who digNdio muvi kali ninayoipenda toka mdogo hadi ukubwani..napenda dialogue zao hasa ile there is two kind of people
Hahaahaa nikifikaga hiyo scene hua narudia Hadi mara Tano Tuco mjinga ana visanga Sana!Huyu mjinga Tuco huwa anaoga na pisto ndani ya maji ๐ kuna bwege mmoja huwa anamsakaga Tuco kitambo mno alimuotea Tuco anaoga halafu akaanza kuleta maongezi mengi, Tuco alimuwasha risasi kutokea ndani ya maji. Tuco Mwenyewe Anasemaga โwhen you have to shoot, shoot! Donโt talkโ
Mkuu hata mtoa mada nae ni new generation Tena juzi juzi tu 90's mwishoni ila hua napenda kufuatilia vitu vizuri olds kuanzia music Aina zote nazichambua mpaka wanamuziki wake,movies,vitabu na historia ya mambo kale kiujumla!Huku kuchelewa kuzaliwa Napo shida.
Yaani nimezaliwa kipindi cha merlin
Hongera mkuu kama ni hivyo basi hata sisi acha tuwe hivyoMkuu hata mtoa mada nae ni new generation Tena juzi juzi tu 90's mwishoni ila hua napenda kufuatilia vitu vizuri olds kuanzia music Aina zote nazichambua mpaka wanamuziki wake,movies,vitabu na historia ya mambo kale kiujumla!