Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hata Mimi ni millennials Tena 90's mwishoni huku ila kuhusu olds hua nazichambua kama nilikwepo vile kuanzia music,movie,vitabu,historia nkNgoja na sie millenials tuzitafute asanteni sana nyie old timers kwa hizi su9mkuuggestions. Tunahitaji nyuzi kama hizi nyingi.
Hongera mkuu kama ni hivyo basi hata sisi acha tuwe hivyo
Ni kweli mkuu inawezekana kabisa kikubwa ni kupenda kuchimba vitu vigeni Kila siku na kuulisha ubongo utajikuta automatically unapata vitu vingi Sana vigeni masikioni mwa watu wengi pale ndio utakuta watu wanakuita genius kumbe ni kawaida tu sababu waafrika ni wazito wa kujitafuta maarifa nje ya yale wanayofundishwa na kukalilishwa darasaniHongera mkuu kama ni hivyo basi hata sisi acha tuwe hivyo
Hatuachani sana mkuu huwezi kuamini ndo namaliza kusoma kitabu cha Audie Murphy(the most decorated soldier in WWII) kinaitwa To Hell And Back. Yaani interest yangu ni mambo ya zamaani tangu nikiwa shule ya msingi huko napenda sana kufuatilia kuanzia vitabu, documentaries etcMkuu hata Mimi ni millennials Tena 90's mwishoni huku ila kuhusu olds hua nazichambua kama nilikwepo vile kuanzia music,movie,vitabu,historia nk
Hiyo ni hobby yangu Toka nikiwa young hiyo ilinisaidia kujoin na wazee,vijana na wasomi tokea nikiwa kinda sababu ni walikua wananiona ka ginius Uchwara kumbe ujanja ujanja tu wa hapa na pale!
Kuna jamaa alienda kuumuaa "tuco"Mzuqa wanajamvi Kwa wale wapenzi wa spaghetti movie nadhani mnawakumbuka Hawa miamba watatu walizinguana Sana kwenye Hii cinema
View attachment 1957795
Elli wallach a.k.a Tuko alikua bonge la comedian humo hahahahaha jamaa ana tamaa hatari mara kibao anafanya njama za kumsnich mchizi wake Brandy ila harakati zake zinagonga mwamba!
πππ
Humo ndani nilielewa lile sound track la kicowboy hasa pale mwisho the Ugly Tuko anapotambulishwa na sinema linaisha!
Old is gold!
Haaahahaha hatari sana Mkuu kumbe na Wewe ulikua Wikipedia ya shule Kama Mimi nakumbuka Kuna wadau walikua wananiamini Mimi nikiwapa madini ya Slave trade, Industrial revolution,1stWW,2nd WW nkHatuachani sana mkuu huwezi kuamini ndo namaliza kusoma kitabu cha Audie Murphy(the most decorated soldier in WWII) kinaitwa To Hell And Back. Yaani interest yangu ni mambo ya zamaani tangu nikiwa shule ya msingi huko napenda sana kufuatilia kuanzia vitabu, documentaries etc
Yaani sometimes mpaka wazee wenyewe wananigwaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka nikiwa chuo nilirudi nyumbani ndg yangu mmoja aliniazima PC wakati anarudisha Kuna kauli moja aliongea na kuanzia hapo aliniogopa sana.Kwa vitu alivyokuta mle ndani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Schoolmates walikua wakiniita Wikipedia yaani wakitaka info za mtu utasikia "muulizeni marapai" hatari tupu. Ila imenisaidia sana kama connection, maongezi deep na watu wazito for hours alafu tunaenda sawa tu yaani.
Kuna Prof mmoja mstaafu akisikia nimerudi likizo lazima aniite tuongee mawili matatu. Ila haya maisha bwn
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuco mshenzi Sana wakati anaoga Kuna miguno alikua anatoa Kama anapiga nyeto Hivi jamaa ndio alikua anamvizia na kusikilizia kabla hajazama ndani na kumkuta ndani ya jacuzzi ana shower mapovu kibao kachanganya sabuni Kama zote mule jamaa akajua kambamba pazuri kumbe mwenzie masaa ya mbele anaoga huku ndani ya maji kakoki Revolver Kwa mashambulizi ya ghafla!Kuna jamaa alienda kuumuaa "tuco"
Tuco alikuwa anaoga jamaa alimpomfikia
Badala ya kumshoot akawa anapiga domo
Tuco kmbe alikuwa na bomba akamtandika
Huku akimwambia if you wnt to shoot shoot don't talk
Aise hii movie unaweza iangalia hata mara 1000000
Ova
Nimecheka sana yaaniHaaahahaha hatari sana Mkuu kumbe na Wewe ulikua Wikipedia ya shule Kama Mimi nakumbuka Kuna wadau walikua wananiamini Mimi nikiwapa madini ya Slave trade, Industrial revolution,1stWW,2nd WW nk
Kiasi kwamba hata waalimu wa history hawawaamini mpaka wapate uhakika kwangu
Daaa yaani kiufupi wakati wenzangu wapo Leo Mimi nilikua kesho Yao kitambo
Sijui ule ujuaji ulikua unatokea wapi nakumbuka nikiwa form two Kuna madam alituweka kimagroup na kutupa Kazi mwisho wa siku mnawasilisha mbele ya darasa Sasa ndugu unajua nature ya shule nyingi za kata hata hakuna material ya kupata nondo makundi mengine waliishia kutoa Boko tu
Nakumbuka kundi langu nikiwa kiongozi ikafika siku ya kuwasilisha imebaki nusu saa tu hata kujiandaa hakuna swali ni mambo Slave trade lenye muunganiko na industrial revolution Aiseee nikagawa hints chap Kwa wahuni na kupanda mbele nilijikuta nalichakata chakata mpaka mifano inaenda French revolution na kina Bonaparte Napoleon
Mwisho kwani hata wanafunzi walielewa basi kwanza madam mwenyewe Nahisi hata Yale madini ndio kwanza aliyasikia kwangu akabaki kaduwaa tu
Toka siku hiyo madam akawa ananiheshimu na mpaka kupoteza confidence anavyofundisha kisa Mimi Kuna mda akawa anatoa notes tu halafu ananiangushia jumba bovu niwafundishe wadau!
Mwaka huu mwanzoni nilikutana nae mji Fulani akashangaa harakati zangu za kitaa tu akashangaa
Sijui alijua nitakua mchunguzi wa mambo kale kule misri?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahahaaha daaa wewe jamaa character zako zinafanana na Mimi mule mule unajua katika hii Dunia Kuna watu wanafanana Kila kitu mpaka matamanio YaoNimecheka sana yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana mpk leo nikiwa kwenye group mtu akitoa point wadau wananigeukia mimi niki kubali basi na wao wanaafiki.
[emoji23][emoji23]
Mulemule hahahahahahaaha daaa wewe jamaa character zako zinafanana na Mimi mule mule unajua katika hii Dunia Kuna watu wanafanana Kila kitu mpaka matamanio Yao
Halafu watu Kama sisi hata hua hatueleweki Kwa watu wengi Kuna muda hua wanadhani tumedata flani Hivi maana Kuna muda hua naongea vitu ambavyo hata havieleweki Kwa wengi huishia kuona Kama havieleweki na haviwezekani!
Hahahaa Tuco alimchapa ngumi kaka yake huku akimwambia njia aliyochukua haikuwa ya kiume.Kuna jamaa alienda kuumuaa "tuco"
Tuco alikuwa anaoga jamaa alimpomfikia
Badala ya kumshoot akawa anapiga domo
Tuco kmbe alikuwa na bomba akamtandika
Huku akimwambia if you wnt to shoot shoot don't talk
Aise hii movie unaweza iangalia hata mara 1000000
Ova
Tuco alikuwa mtata sanaHahahaa Tuco alimchapa ngumi kaka yake huku akimwambia njia aliyochukua haikuwa ya kiume.
Lee Van Cleeff ana sura ya kibanditi balaa alikua kauzu Hatari sura ya beberu mbuzi,Tuco alikuwa mtata sana
Alafu jamaa kigeugeu
Ila van cleeff bonge la actor naye
Ova
Tuco "the ugly" anakwambia..
"I like big fat men like you. When they fall they make more noise and sometimes they never get up! "
Check na nyingine inaitwa Brimstone(2017) ni ya dakika 140.
Haaahahaha hatari sana Mkuu kumbe na Wewe ulikua Wikipedia ya shule Kama Mimi nakumbuka Kuna wadau walikua wananiamini Mimi nikiwapa madini ya Slave trade, Industrial revolution,1stWW,2nd WW nk
Kiasi kwamba hata waalimu wa history hawawaamini mpaka wapate uhakika kwangu
Daaa yaani kiufupi wakati wenzangu wapo Leo Mimi nilikua kesho Yao kitambo
Sijui ule ujuaji ulikua unatokea wapi nakumbuka nikiwa form two Kuna madam alituweka kimagroup na kutupa Kazi mwisho wa siku mnawasilisha mbele ya darasa Sasa ndugu unajua nature ya shule nyingi za kata hata hakuna material ya kupata nondo makundi mengine waliishia kutoa Boko tu
Nakumbuka kundi langu nikiwa kiongozi ikafika siku ya kuwasilisha imebaki nusu saa tu hata kujiandaa hakuna swali ni mambo Slave trade lenye muunganiko na industrial revolution Aiseee nikagawa hints chap Kwa wahuni na kupanda mbele nilijikuta nalichakata chakata mpaka mifano inaenda French revolution na kina Bonaparte Napoleon
Mwisho kwani hata wanafunzi walielewa basi kwanza madam mwenyewe Nahisi hata Yale madini ndio kwanza aliyasikia kwangu akabaki kaduwaa tu
Toka siku hiyo madam akawa ananiheshimu na mpaka kupoteza confidence anavyofundisha kisa Mimi Kuna mda akawa anatoa notes tu halafu ananiangushia jumba bovu niwafundishe wadau!
Mwaka huu mwanzoni nilikutana nae mji Fulani akashangaa harakati zangu za kitaa tu akashangaa
Sijui alijua nitakua mchunguzi wa mambo kale kule misri?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahaahaa daaa we Acha tu life hili mpaka natamani nipate ramani ya Kaburi la mjeremani alilofukia gold na rupia Kama Tuco na blandy kwenye Hilo cinema πππBodaboda[emoji13][emoji13][emoji13]
Pambaf Sako ndio nilikua Nampango wa kupandisha hili sound track kihere here changu kimeisha umeniwahiπ€ πππ«