Hawa hapa maadui wa Taifa la Tanzania

Kuna mkakati wa muda mrefu wa kupoteza kizazi, watoto waliyozaliwa 90 na kuendelea washapotezwa

Ova
 
Mkuu

Hiyo ndio laana yenyewe sasa[emoji1]
 
Mkuu

Hiyo ndio laana yenyewe sasa[emoji1]
Sasa hapo unataka kusema VIJANA ndio wanalaana au sio? Maana wamewapotosha viongozi au sio?


Vijana wa Tanzania wamelaaniwa na nani? Mungu? Au Wazazi wao? Au Ardhi yao?
 
usemacho ni kweli, shule zetu zinatoa elimu ya kujibia mitihani na kuajiriwa. Hazitoi elimu ya kukabili na kuboresha mazingira yetu. Lengo la elimu halipaswi kuwa kujibia mtihani na kuajiriwa. Elimu inapaswa kufundisha namna ya kutumia rasilimali tulizonazo na namna ya kuunda vitu mbalimbali kwa ajili ya kutusaidia kuishi kwetu.
 
Kuna mkakati wa muda mrefu wa kupoteza kizazi, watoto waliyozaliwa 90 na kuendelea washapotezwa

Ova
Nani kawapoteza? Ujue ni vyema tukazipata PRECEPTS ( original ideas ) za matatizo yetu...wapi yameanzia!

Note: Hawa maadui chanzo chake ni mawazo ya mtu au watu washenzi....kundi la wapuuzi flani wanaotembea huku wamejaa mi UTI...majangili, wezi wakubwa ...wahujumu uchumi
 
Tunatokaje hapa Ndugu? Je tuichague CHADEMA katika kiti cha Urais? Tuunde KATIBA mpya? Unadhani hizo zitakua solutions?
 
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings". Pieter W. Botha, a former President of South Africa
Sio kweli.
 
Matatizo ya Afrika yalianza baada ya wakoloni kutupa UHURU.

Mwafrika hakupaswa kupewa uhuru maana hawezi kujiongoza mwenyewe ndio maana unaona sasa ana kabidhi rasilimali zake ziongozwe na watu wengine.

Matatizo ya Tanzania yalianza mwaka 1961 baada ya mwingereza kutupa UHURU.
 
Let's image....wewe hapo una mali ipo Ardhini ( Ardhi ni Yako ) ...je utakubali upewe 30% ya mali hiyo huku mtu anayekutawala achukue 70% kwà kua eti anavifaa vya kuichimba hiyo mali?

Ujue Ndugu yangu , kuna vitu vinaumiza sana. Sio kweli kwamba hatuwezi kujiongoza....sisi ni Matajiri sana na tunauwezo mkubwa sana wa Akili pamoja na Nguvu ....ni wajibu na jukumu letu kuyaondoa mawazo potofu katika vichwa vyetu.

R.I.P JPM
 
Tunatokaje hapa Ndugu? Je tuichague CHADEMA katika kiti cha Urais? Tuunde KATIBA mpya? Unadhani hizo zitakua solutions?
Hii inaonesha ni namna gani wala HATUJUI namna ya kuji ongoza.

Ndio maana una uliza je tuichague chadema? Mara tuunde katiba mpya?

Yani mpaka sasa HATUJA ELEWA njia sahihi ya kuji ongoza ni ipi

Na tuna zaidi ya miaka 62 ya Uhuru ila bado hatujui ni njia ipi bora ya kuji ongoza.

Narudia kukwambia kwamba

Uafrika hasa utanzania ni LAANA.
 
We, as the black people,
CAN WE PROVE HIM (i.e. P. W. Botha) WRONG????
R.I.P JPM ( Kama wasingemuua , now tungekua mbali sana.


Fuatilia Historia ya Tajiri Muafrika wakuitwa Mansa Musa ,....Unaambiwa alikua zaidi ya mfalme Solomon,


 
J.P.M Alikuwepo lakini akaitwaDikteta, muuaji,katili...

Aka ingia Mama wakasema ana upiga mwingi.

Leo watanzania hao hao wana sikia bandari yao ina uzwa ndio ya kwanza kupiga kelele ina onyesha ni namna gani HATUELEWI tunataka nini,
HATUJUI tuji ongoze vipi,

Sisi ni kama ma ng'ombe yanayo swagwa wala hayajui yanapo pelekwa.ni kupelekwa msobe msobe tukilalamika kama ma ng'ombe [emoji230] yanavyo lia moo! moooo!
 
Kuna WAJINGA wanataka kutula kwà kutuaminisha hivyo....eti eti...tuikiichagua CHADEMA au tukiwa na KATIBA mpya...basi KILA kitu kitabadilika. Maisha yatakua raha mstarehe... [emoji23]
 
Tutazungukaa na kutafuta mchawi ni nani lakini mchawi ni nani lakini adui yetu ni CCM na vigogo na watoto wa wanaccm
Tufanyeje ili tutoke hapa? Toa mbinu mpya sio zilezile za zamani!!!
 
Hamna mbinu nyingine zaidi ya kifichua na kuelimisha Umma kuhusu adui mkuu ambaye ni CCM na vigogo wake Mfano teuzi za ma DED wapya asilimia 90 ni za watoto vilaza wa vigogo wa CCM
Nasikia huyu nae kateuliwa...daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…