Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

Uliahidi kuwataja hao watu; mbona hujataja hata mmoja badala yake umeandika bandiko refu lililojaa porojo tu? Umekuwa kama nyumbu tu na wewe!
Btw, hujabubujikwa na machozi wakati unaandika? 🤣
Endelea kuwa mtulivu na kufuatilia maandiko yangu. Kwa hakika utabubujikwa na machozi Utafikiri umepakwa pilipili Machoni
 
Hujui Dunia ,tulia tuli, wewe ndani ya chama chenu sio lolote sio chochote.
 
Kichwa chanhabari na mada havitoshi, mada yaonhaielezi ni akina nani hai, hamna majina.

Badala yake umejaza kurasa kwa story za kusadikika
 
Sijasoma andiko lako lote,ila umeiona video la ccm wenzako kule mkuranga?
 
Sasa kama tunashindwa kuendesha Chama tutaweza Nchi ?; Cha maana ni kwenda kwa Hoja na kuhakikisha kila unachofanya hakikiuki Chochote hapo utakuwa hauna shida....

Truth does not Fear Investigation....
 
Masaa zaidi ya 36 tangu umetuhaidi kuja na majibu ya Jambo hili....umeandka walaka wa kwanza hadi wa sita unafuta ndio ukaja na hii hapa edition "Kali" Sana!

Ushauri wangu, acha hii kazi uliyojipa ya kumtetea huyu mtu wako, umeongeza takataka kwenye takataka!
 
Summary

  • waliopinga au hawakutaka Rais achukue madaraka baada ya kifo cha Magufuli. Walihitaji kukumbushwa na Jenerali Mabeyo kuhusu matakwa ya Katiba
  • Kikundi Ndani ya CCM kinachopanga mikakati ya kumvunjia heshima Rais ili apoteze uungwaji mkono wa kupita bila kuruhusu ushindani katika kugombea urais.
  • wanaojiona kuwa wakubwa kuliko chama, wanatafuta njia za kuendesha mabadiliko ndani ya CCM kumpindua Rais.
 
Uwe na adabu kwa mamlaka . Tumezoea zawadi na Mungu tunayopaswa kuitunza na kuilinda kwa wivu mkubwa sana
 
Pumba tupu
 
Mungu mwenyewe anachalenjiwa sembuse "mama"!. Ni sehemu ya maisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…