SijaionaUmeiona lakini ile clip bwana lukasi?
Nimesema endeleeni kuwa watulivuWakina nani sasa mbona hujawataja? Umeandika kama unakimbizwa!
Mi nkadhani unataja majina ,kumbe ponjolozNdugu zangu Watanzania,
Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt Magufuli ili sasa yeye ndiye autangazie Umma wa Watanzania juu ya taarifa hiyo nzito ambayo haijawahi kutokea hapa Nchini kwa Rais aliyepo madarakani kufariki Dunia?
Mnakumbuka Maneno ya Mkuu wetu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo aliyoyatamka hadharani ya kuwa kuna watu walisahau matakwa ya katiba yetu yanasema nini na nini kifanyike pale inapotokea Rais aliyepo madarakani amefariki Dunia? Mnakumbuka Pia Mkuu wetu wa Majeshi alisema kuwa ilibidi afanye kazi ya kuwakumbusha matakwa ya katiba yetu na nini kifanyike mara baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani?
Mnafikiri Kauli hiyo ilikuwa na Maana gani? Mnafikiri hao waliosahau Matakwa ya katiba yetu ambayo imeandikwa na ipo kwa lugha ya kiswahili ambayo ndio lugha yetu ya Taifa na rahisi kueleweka kwa kila mtu. mnafikiri watu na watanzania hao wenzetu walitaka wafanye jambo gani ambalo hadi kufikia hatua Mkuu wetu wa Majeshi mstaafu kuwakumbusha?
Nini kingetokea ikiwa kama naye Mkuu wetu wa Majeshi mstaafu Generali Venance Mabeyo naye angekuwa amesahau matakwa ya katiba yetu? Vipi ikiwa Jenerali Venance Mabeyo angekuwa ameelemewa na Majonzi na kusahau kabisa matakwa ya katiba yetu na kutoa mwanya kwa watu hao kutimiza nia zao ambazo zipo kinyume na katiba yetu?
Nini kingetokea kwa Taifa letu? Je watu hao baada ya kukumbushwa matakwa ya katiba yetu ni vipi walijisikia mioyoni mwao? Je walikubaliana na kile walichoelezwa na kukumbushwa na Jenerali Mabeyo kwa moyo mkunjufu au walikubali kwa shingo Upande tu na kuogopa Nyota za Mabegani Zilizopamba Kombati za Jenerali Mabeyo?
Je mioyo yao ilibakia kuwa safi na amani? Je gizani na sirini waliendelea kuwa na maombi na mipango mizuri na Rais Samia ? Je walifurahia Kuona Rais Samia anaongoza Nchi? Je mnafikiri chini ya kapeti na nyuma ya pazia wanataka aendelee awamu ya pili?
Watanzania wenzangu Rais Samia amekuwa au kuwa Rais wa Nchi Hii ni kwa Neema ,Mipango na agano la Mungu katika ulimwengu wa kiroho. Mungu ndiye alipanga iwe hivyo,Mungu ndiye aliyemuinua kumfikisha hapo ,Mungu ndiye aliyempatia kibali cha kukalia kiti cha Urais ,Mungu ndiye aliyempatia Urais ,Mungu ndiye aliyewatumia baadhi ya watu kuhakisha kuwa agano lake katika ulimwengu wa kiroho linatimilika na Mama Samia anakuwa Rais wa Nchi hii.
Mnakumbuka baada ya Kifo cha Hayati Dkt Magufuli Rais Samia alikuwa mtu wa ngapi kupewa taarifa ya Kifo cha Rais wake? Je ilikuwa ni sawa kikatiba ? Je kikatiba au kiutaratibu alitakiwa awe mtu wa ngapi kupewa taarifa? Je Ndivyo ilivyofanyika na kufuatwa?
Someni kwanza hadi hapo na muendelee kuwa watulivu . Kikubwa ni kuwa mtaona baadhi ya watu kama ambavyo wameanza kujitokeza wakijitokeza hadharani kumshambulia Rais Samia,Kumchafua Rais wetu,kumpaka matope ,kumvunjia heshima ,kumsakizia kila aina ya uchafu kwa lengo la kutaka kuondoa heshima ,imani na uungwaji Mkono wa watanzania kwake.
Watajitokeza kwa lengo la kutaka kupandikiza chuki kali kwa watanzania dhidi ya Rais Samia,watataka umma wote wa watanzania uone Rais Samia siyo kila wala chochote na ni adui wa Taifa hili. Watazusha,kuunganisha maneno ya uongo kuwalaghai na kutaka kuwapumbaza watanzania. Lengo kuu ni kupandikiza chuki tu. Watamshambulia kila mtu watakaye ona hayupo upande wao na ni kikwazo kwao. Yote hiyo ikiwa ni kutafuta uhalali wa kufanya Mapinduzi ya kikatiba na kimaamuzi ndani ya CCM.
Hata hivyo watu na kikundi hicho hakiwezi kamwe na katu kufanikiwa wala kufanikisha ajenda zao hizo ovu. CCM ni zaidi ya chama,Hiki ni chama kikubwa kuliko mtu au kikundi chochote kile hapa Nchini,ni zaidi ya taasisi ,ni zaidi ya mfumo. CCM ni dude Moja kubwa sana ambalo huwezi hata kujua ukishikije.hiki siyo chama unachoweza kukiweka mfukoni mwako wala siyo chama unachoweza kukikunja kama kamba na kukiweka katika mfumo wako.
Ni dude kubwa sana ambalo huwezi kushindana nalo. CCM ikishakwisha kufanya maamuzi yake kama ambavyo imeshafanya katika mashaka yote,huwezi kamwe kufanya Mapinduzi ya kupindua maamuzi yake kwa uasi au kwa kuunda kikundi chako haramu na kilicho kinyume na katiba yetu. Utaishia kuumia tu.
Anayefikiria kuwa yeye ni mkubwa kuliko CCM au anaweza kufanya Mapinduzi ndani ya CCM au anaweza kupindua maamuzi ya chama kwa njia haramu na za mkato .anajisumbua ,anahangaika tu . Hawezi kufanikiwa wala kufanikisha. CCM ni zaidi ya hivi uionavyo machoni pako katika macho yako ya nyama. Hii ni Nchi na huwezi kuitenganisha na uhai wa Nchi hii.hivyo kuichezea CCM ni sawa na kuichezea Nchi hii na usalama wake.
Jaribuni kufuatilia historia ya CCM na namna ilivyoundwa na watu walioiasisi CCM.angalieni viongozi wake wakuu kwa nafasi za Uwenyekiti,Umakamu na ukatibu Mkuu zimewahi kushikwa na akina nani na watu hao wana historia gani kiutumishi na kiutendaji katika Taifa hili. CCM ni Kama vile CIA au FBI ya Marekani au MOSSAD ya Israel. Kucheza na kuichezea CCM ni sawa na kuchezea moto kwa Ulimi.View attachment 3412287
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama Kuna Mtu ambaye Watanzania wanamwomba Mungu amsamehe, basi alikua Mstaafu Mabeyo.Ndugu zangu Watanzania,

Ninayafahamu, na katika hayo majukum, hakuna Jukumu la Mkutano Mkuu ,kupendekeza Mgombea na kumpitisha.Unayafahamu mamlaka na majukumu ya mkutano mkuu wa CCM Taifa?
Zimekamatwa kura zilizopigwa tayari kabla ya wajumbe kupiga kuraSijaiona
Wewe mtoto hujui lolote zaidi ya hizo senti unazopewa na kukaririshwa nadharia mfu zisizo na rejea..tunakupa mifano hai..zilikuwepo dola zenye nguvu, zilizotawala dunia..dola ya rumi kwa mfano, muda ulipofika hakuna cha dude wala dudu.. chali! sasa haka kaccm kenye watu hawazidi 50 wanaotegemea kafara na uchawi kutawala..? Juha ndi anaweza ona ccm ni dude, kwetu tunaoona mambo kwa macho 3 ccm mwisho wao uko mlangoni..anza kutafuta kitu cha kufanya nje ya uchawa unaokulisha!Ndugu zangu Watanzania,
Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt Magufuli ili sasa yeye ndiye autangazie Umma wa Watanzania juu ya taarifa hiyo nzito ambayo haijawahi kutokea hapa Nchini kwa Rais aliyepo madarakani kufariki Dunia?
Mnakumbuka Maneno ya Mkuu wetu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo aliyoyatamka hadharani ya kuwa kuna watu walisahau matakwa ya katiba yetu yanasema nini na nini kifanyike pale inapotokea Rais aliyepo madarakani amefariki Dunia? Mnakumbuka Pia Mkuu wetu wa Majeshi alisema kuwa ilibidi afanye kazi ya kuwakumbusha matakwa ya katiba yetu na nini kifanyike mara baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani?
Mnafikiri Kauli hiyo ilikuwa na Maana gani? Mnafikiri hao waliosahau Matakwa ya katiba yetu ambayo imeandikwa na ipo kwa lugha ya kiswahili ambayo ndio lugha yetu ya Taifa na rahisi kueleweka kwa kila mtu. mnafikiri watu na watanzania hao wenzetu walitaka wafanye jambo gani ambalo hadi kufikia hatua Mkuu wetu wa Majeshi mstaafu kuwakumbusha?
Nini kingetokea ikiwa kama naye Mkuu wetu wa Majeshi mstaafu Generali Venance Mabeyo naye angekuwa amesahau matakwa ya katiba yetu? Vipi ikiwa Jenerali Venance Mabeyo angekuwa ameelemewa na Majonzi na kusahau kabisa matakwa ya katiba yetu na kutoa mwanya kwa watu hao kutimiza nia zao ambazo zipo kinyume na katiba yetu?
Nini kingetokea kwa Taifa letu? Je watu hao baada ya kukumbushwa matakwa ya katiba yetu ni vipi walijisikia mioyoni mwao? Je walikubaliana na kile walichoelezwa na kukumbushwa na Jenerali Mabeyo kwa moyo mkunjufu au walikubali kwa shingo Upande tu na kuogopa Nyota za Mabegani Zilizopamba Kombati za Jenerali Mabeyo?
Je mioyo yao ilibakia kuwa safi na amani? Je gizani na sirini waliendelea kuwa na maombi na mipango mizuri na Rais Samia ? Je walifurahia Kuona Rais Samia anaongoza Nchi? Je mnafikiri chini ya kapeti na nyuma ya pazia wanataka aendelee awamu ya pili?
Watanzania wenzangu Rais Samia amekuwa au kuwa Rais wa Nchi Hii ni kwa Neema ,Mipango na agano la Mungu katika ulimwengu wa kiroho. Mungu ndiye alipanga iwe hivyo,Mungu ndiye aliyemuinua kumfikisha hapo ,Mungu ndiye aliyempatia kibali cha kukalia kiti cha Urais ,Mungu ndiye aliyempatia Urais ,Mungu ndiye aliyewatumia baadhi ya watu kuhakisha kuwa agano lake katika ulimwengu wa kiroho linatimilika na Mama Samia anakuwa Rais wa Nchi hii.
Mnakumbuka baada ya Kifo cha Hayati Dkt Magufuli Rais Samia alikuwa mtu wa ngapi kupewa taarifa ya Kifo cha Rais wake? Je ilikuwa ni sawa kikatiba ? Je kikatiba au kiutaratibu alitakiwa awe mtu wa ngapi kupewa taarifa? Je Ndivyo ilivyofanyika na kufuatwa?
Someni kwanza hadi hapo na muendelee kuwa watulivu . Kikubwa ni kuwa mtaona baadhi ya watu kama ambavyo wameanza kujitokeza wakijitokeza hadharani kumshambulia Rais Samia,Kumchafua Rais wetu,kumpaka matope ,kumvunjia heshima ,kumsakizia kila aina ya uchafu kwa lengo la kutaka kuondoa heshima ,imani na uungwaji Mkono wa watanzania kwake.
Watajitokeza kwa lengo la kutaka kupandikiza chuki kali kwa watanzania dhidi ya Rais Samia,watataka umma wote wa watanzania uone Rais Samia siyo kila wala chochote na ni adui wa Taifa hili. Watazusha,kuunganisha maneno ya uongo kuwalaghai na kutaka kuwapumbaza watanzania. Lengo kuu ni kupandikiza chuki tu. Watamshambulia kila mtu watakaye ona hayupo upande wao na ni kikwazo kwao. Yote hiyo ikiwa ni kutafuta uhalali wa kufanya Mapinduzi ya kikatiba na kimaamuzi ndani ya CCM.
Hata hivyo watu na kikundi hicho hakiwezi kamwe na katu kufanikiwa wala kufanikisha ajenda zao hizo ovu. CCM ni zaidi ya chama,Hiki ni chama kikubwa kuliko mtu au kikundi chochote kile hapa Nchini,ni zaidi ya taasisi ,ni zaidi ya mfumo. CCM ni dude Moja kubwa sana ambalo huwezi hata kujua ukishikije.hiki siyo chama unachoweza kukiweka mfukoni mwako wala siyo chama unachoweza kukikunja kama kamba na kukiweka katika mfumo wako.
Ni dude kubwa sana ambalo huwezi kushindana nalo. CCM ikishakwisha kufanya maamuzi yake kama ambavyo imeshafanya katika mashaka yote,huwezi kamwe kufanya Mapinduzi ya kupindua maamuzi yake kwa uasi au kwa kuunda kikundi chako haramu na kilicho kinyume na katiba yetu. Utaishia kuumia tu.
Anayefikiria kuwa yeye ni mkubwa kuliko CCM au anaweza kufanya Mapinduzi ndani ya CCM au anaweza kupindua maamuzi ya chama kwa njia haramu na za mkato .anajisumbua ,anahangaika tu . Hawezi kufanikiwa wala kufanikisha. CCM ni zaidi ya hivi uionavyo machoni pako katika macho yako ya nyama. Hii ni Nchi na huwezi kuitenganisha na uhai wa Nchi hii.hivyo kuichezea CCM ni sawa na kuichezea Nchi hii na usalama wake.
Jaribuni kufuatilia historia ya CCM na namna ilivyoundwa na watu walioiasisi CCM.angalieni viongozi wake wakuu kwa nafasi za Uwenyekiti,Umakamu na ukatibu Mkuu zimewahi kushikwa na akina nani na watu hao wana historia gani kiutumishi na kiutendaji katika Taifa hili. CCM ni Kama vile CIA au FBI ya Marekani au MOSSAD ya Israel. Kucheza na kuichezea CCM ni sawa na kuchezea moto kwa Ulimi.View attachment 3412287
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Je ni wapi ambapo katiba ya CCM imesema kuwa mkutano Mkuu wa CCM hauna Mamlaka ya kufanya kile ulichokifanya?Ninayafahamu, na katika hayo majukum, hakuna Jukumu la Mkutano Mkuu ,kupendekeza Mgombea na kumpitisha.
Wewe unàyejua majukum ya Mkutano Mkuu.
Je ikitokea Watia Nia wa Urais wako 20, alafu wasipitishwe kwenye mchakato wowote wa ndani, wanaweza kupelekwa hivohivo kwenye Mkutano Mkuu, na Mkutano Mkuu, ikamchagua Mmoja ??
Kama zimekamatwa ni jambo jema . Na hiyo ndio maana ya mfumo imara uliopo ndani ya CCM. Huwezi ukafanya kitu kilicho nje ya katiba bila kubainika.Zimekamatwa kura zilizopigwa tayari kabla ya wajumbe kupiga kura
Sitafuti ubalozi hapa mimi.Usjali balozi mpya CUBA utapewa wewe
Katiba ya Chama inasemaje kuhusu uteuzi wa Mgombea wa Urais?.Je ni wapi ambapo katiba ya CCM imesema kuwa mkutano Mkuu wa CCM hauna Mamlaka ya kufanya kile ulichokifanya?
CCM haina mwisho. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.Wewe mtoto hujui lolote zaidi ya hizo senti unazopewa na kukaririshwa nadharia mfu zisizo na rejea..tunakupa mifano hai..zilikuwepo dola zenye nguvu, zilizotawala dunia..dola ya rumi kwa mfano, muda ulipofika hakuna cha dude wala dudu.. chali! sasa haka kaccm kenye watu hawazidi 50 wanaotegemea kafara na uchawi kutawala..? Juha ndi anaweza ona ccm ni dude, kwetu tunaoona mambo kwa macho 3 ccm mwisho wao uko mlangoni..anza kutafuta kitu cha kufanya nje ya uchawa unaokulisha!
Wewe sio mwanaCCM kumshinda NYERERE ambaye ALIKEMEA Uhuni wa namna hiyo ya Dodoma.Kama zimekamatwa ni jambo jema . Na hiyo ndio maana ya mfumo imara uliopo ndani ya CCM. Huwezi ukafanya kitu kilicho nje ya katiba bila kubainika.
Hakuna mahali mkutano mkuu ulivunja katiba mama mkutano mkuu ulikuwa na mamlaka na kufanya kile kilichokuwa ndani ya uwezo na mamlaka yakeKatiba ya Chama inasemaje kuhusu uteuzi wa Mgombea wa Urais?.
Mkutano Mkuu unahaki ya Kuvunja mchakato wa ki Katiba??.yaan Mkutano Mkuu ambao kazi Yao kubwa ni makofi, vigelegele, Mkutano wenye Asilimia kubwa watu Vilaza
Utuletee Rais ambaye hajafuata mchakato ???.