Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

Mbona umeshindwa kuwataja? Hakuna kitu umeandika hapa..,..Si mnasema CHADEMA ndiyo maadui?
 
Nilikua unawataja Kwa majina, kumbe ni andiko refu la kichawa!!.

Ufaham neno hili la kua, Samia aliteuliwa kua Makamo kwa njama za Kikwete.

Kwa bahati mbaya Magufuli akampokea Kwa sababu ya Samia kua Mwanamke, lkn pia Mwenye Uwezo Mdogo Kichwan, hivo Kwa Magufuli kwa kujijua ana Uwezo Mkubwa wa akili, utendaji hakuona shida !!!.


Yakatokea yakutokea Magufuli akafa, Hapo ndipo Wazalendo wakarudi kwenye msingi wa "Je huyu Makamo anasifa za kua Rais "???.

Ijulikane kua Mwanaccm tu hakutoshi wewe kua Rais .

Rais ni Mamlaka ya Juu ya Taifa ambayo ndio Sura ya Nchi Kwa namna mbalimbali.


Hivo Conclusion ya Rais Samia kutokua na Uwezo ilikua Sahihi , na hili limeonekana katika miaka yake minne?.


Kama ambavyo Umesifia Mabeyo kulinda Katiba, Usikasirike Kwa watu wanataka Katiba ya Chama na ya Nchi ifuatwe .


Samia Kujichagua mwenyewe, hakupaswi kua kitu Cha kupongeza, APIGWE VITA, ATIMULIWE KAMA NDULI IDIAMINI KABLA HAJAARIBU NCHI.
 
Nyie si mnawachekea?
 
Halafu unajiita muislam safi kwa akili hizo wewe ni level za kobaz bado
Oya Dogo cheki hapo Chini mkombozi wa waislamu mwamba Imam Hussain ibn Ali AS akimkumbatia kijana wake Ali Al-Sajjad alipotoka kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu battle of Ashura.
 
Kwanza uwe na adabu kwa Rais wetu. Pili Rais Wetu Mpendwa hakujichagua na kujipitisha mwenyewe kua Mgombea Urais wa CCM bali alipitishwa na mkutano mkuu wa CCM. Kutokana na uchapakazi wake na uzalendo kwa Taifa letu pamoja na kazi kubwa alizofanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake
 
 
Mbona umeandika utangulizi tuu mkuu.habari yenyewe iko wapi.ni kweli tunakumbuka maneno ya Mabeyo kwa hiyo baada ya kukumbuka tunafanyeje sasa.maana hukutaja hayo majina uliyoyasema
 
Mbona umeandika utangulizi tuu mkuu.habari yenyewe iko wapi.ni kweli tunakumbuka maneno ya Mabeyo kwa hiyo baada ya kukumbuka tunafanyeje sasa.maana hukutaja hayo majina uliyoyasema
Endelea kuwa mtulivu na kuendelea Kunifuatilia tu.
 
Alipitishwa na Mkutano Mkuu eeh

Utaratibu wa Kikatiba wa Chama ulifuatwa?.


Kama Mkutano Mkuu ulikua unampenda, kwann alipoambiwa stoke nje, hakutoka??.


Mkutano Mkuu ni lini uleleta Mabadiliko ya Katiba katika kutafuta Mgombea, kwamba Mgombea Urais anaweza teuliwa kihuni kama vile??.


Ni nani anayepeleka jina la Mgombea kwenye Mkutano Mkuu??.
 
Wako wapi sasa?
 
Unayafahamu mamlaka na majukumu ya mkutano mkuu wa CCM Taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…