Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

Mi nkadhani unataja majina ,kumbe ponjoloz
 
Kama Kuna Mtu ambaye Watanzania wanamwomba Mungu amsamehe, basi alikua Mstaafu Mabeyo.
 
Unayafahamu mamlaka na majukumu ya mkutano mkuu wa CCM Taifa?
Ninayafahamu, na katika hayo majukum, hakuna Jukumu la Mkutano Mkuu ,kupendekeza Mgombea na kumpitisha.


Wewe unΓ yejua majukum ya Mkutano Mkuu.

Je ikitokea Watia Nia wa Urais wako 20, alafu wasipitishwe kwenye mchakato wowote wa ndani, wanaweza kupelekwa hivohivo kwenye Mkutano Mkuu, na Mkutano Mkuu, ikamchagua Mmoja ??
 
Wewe mtoto hujui lolote zaidi ya hizo senti unazopewa na kukaririshwa nadharia mfu zisizo na rejea..tunakupa mifano hai..zilikuwepo dola zenye nguvu, zilizotawala dunia..dola ya rumi kwa mfano, muda ulipofika hakuna cha dude wala dudu.. chali! sasa haka kaccm kenye watu hawazidi 50 wanaotegemea kafara na uchawi kutawala..? Juha ndi anaweza ona ccm ni dude, kwetu tunaoona mambo kwa macho 3 ccm mwisho wao uko mlangoni..anza kutafuta kitu cha kufanya nje ya uchawa unaokulisha!
 
[QUOTE="Lucas Mwashambwa, post: 54505750, member: 674699"Mungu ndiye aliyemuinua kumfikisha hapo ,Mungu ndiye aliyempatia kibali cha kukalia kiti cha Urais ,
[/QUOTE]
Hata shetani anakibali kutoka kwa Mungu na ndio maana yupo bize kuharibu.
 
Je ni wapi ambapo katiba ya CCM imesema kuwa mkutano Mkuu wa CCM hauna Mamlaka ya kufanya kile ulichokifanya?
 
Zimekamatwa kura zilizopigwa tayari kabla ya wajumbe kupiga kura
Kama zimekamatwa ni jambo jema . Na hiyo ndio maana ya mfumo imara uliopo ndani ya CCM. Huwezi ukafanya kitu kilicho nje ya katiba bila kubainika.
 
Je ni wapi ambapo katiba ya CCM imesema kuwa mkutano Mkuu wa CCM hauna Mamlaka ya kufanya kile ulichokifanya?
Katiba ya Chama inasemaje kuhusu uteuzi wa Mgombea wa Urais?.


Mkutano Mkuu unahaki ya Kuvunja mchakato wa ki Katiba??.yaan Mkutano Mkuu ambao kazi Yao kubwa ni makofi, vigelegele, Mkutano wenye Asilimia kubwa watu Vilaza

Utuletee Rais ambaye hajafuata mchakato ???.
 
CCM haina mwisho. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.
 
Katika Miaka ya karibun mkuu neno MAMA umeliandika mara milioni 5 km sikosei πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€maana Kila sentens neno mama lipo mara Tano πŸ˜€πŸ˜€

Ss n wkt mama akusikie ss aiseee
 
Hakuna mahali mkutano mkuu ulivunja katiba mama mkutano mkuu ulikuwa na mamlaka na kufanya kile kilichokuwa ndani ya uwezo na mamlaka yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…