Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

Labda kama unazungumzia CCM ya Oman, huyo bibi yako humo ndani ndiyo hawamtaki. Kampambanie katika vikao vya ndani(kama utaruhusiwa kuhudhuria).
 
Labda kama unazungumzia CCM ya Oman, huyo bibi yako humo ndani ndiyo hawamtaki. Kampambanie katika vikao vya ndani(kama utaruhusiwa kuhudhuria).
Rais Samia Mama yetu Mpendwa ndiye Mgombea wetu wa CCM ambaye tumempitisha wenyewe na hakuna wa kubadilisha jambo hilo wala kubadilisha uamuzi huo.
 
Tupe wengi kumbe, mimi naendaga kwenye comment tu
 
Baiskeli yako uliyopewa na Ccm, bado inafanya kazi
 
Mh. Rais Samia alipigiwa kura akiwa Mgombea mwenza wa Marehemu Rais Magufuli na alipita nchi nzima kuomba kura kama Mgombea mwenza wa Urais..!!

Watanzania wengi wamesahau, kama ulimpigia kura Marehemu Rais Magufuli, pia ulimpigia kura Rais wa sasa Mh. Rais Samia..!! Hivyo iwe iwavyo, Mh. Rais Samia ni Rais halali tena kwa kura zetu za 2015 na 2020, na alizunguka nchi nzima kama Makamu wa Rais na walishinda kura nyingi sana tu..!! Hivyo tuache chuki za ajabu ajabu sbb tu watu wamesahau au hawataki kusemea ukweli huu.
 
Katiba inachezewa till now….una lipi la kusema Mwashambwa….hoja hujibiwa kwa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…