Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

Ndugu zangu Watanzania,

Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt Magufuli ili sasa yeye ndiye autangazie Umma wa Watanzania juu ya taarifa hiyo nzito ambayo haijawahi kutokea hapa Nchini kwa Rais aliyepo madarakani kufariki Dunia?

Mnakumbuka Maneno ya Mkuu wetu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo aliyoyatamka hadharani ya kuwa kuna watu walisahau matakwa ya katiba yetu yanasema nini na nini kifanyike pale inapotokea Rais aliyepo madarakani amefariki Dunia? Mnakumbuka Pia Mkuu wetu wa Majeshi alisema kuwa ilibidi afanye kazi ya kuwakumbusha matakwa ya katiba yetu na nini kifanyike mara baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani?

Mnafikiri Kauli hiyo ilikuwa na Maana gani? Mnafikiri hao waliosahau Matakwa ya katiba yetu ambayo imeandikwa na ipo kwa lugha ya kiswahili ambayo ndio lugha yetu ya Taifa na rahisi kueleweka kwa kila mtu. mnafikiri watu na watanzania hao wenzetu walitaka wafanye jambo gani ambalo hadi kufikia hatua Mkuu wetu wa Majeshi mstaafu kuwakumbusha?

Nini kingetokea ikiwa kama naye Mkuu wetu wa Majeshi mstaafu Generali Venance Mabeyo naye angekuwa amesahau matakwa ya katiba yetu? Vipi ikiwa Jenerali Venance Mabeyo angekuwa ameelemewa na Majonzi na kusahau kabisa matakwa ya katiba yetu na kutoa mwanya kwa watu hao kutimiza nia zao ambazo zipo kinyume na katiba yetu?

Nini kingetokea kwa Taifa letu? Je watu hao baada ya kukumbushwa matakwa ya katiba yetu ni vipi walijisikia mioyoni mwao? Je walikubaliana na kile walichoelezwa na kukumbushwa na Jenerali Mabeyo kwa moyo mkunjufu au walikubali kwa shingo Upande tu na kuogopa Nyota za Mabegani Zilizopamba Kombati za Jenerali Mabeyo?

Je mioyo yao ilibakia kuwa safi na amani? Je gizani na sirini waliendelea kuwa na maombi na mipango mizuri na Rais Samia ? Je walifurahia Kuona Rais Samia anaongoza Nchi? Je mnafikiri chini ya kapeti na nyuma ya pazia wanataka aendelee awamu ya pili?

Watanzania wenzangu Rais Samia amekuwa au kuwa Rais wa Nchi Hii ni kwa Neema ,Mipango na agano la Mungu katika ulimwengu wa kiroho. Mungu ndiye alipanga iwe hivyo,Mungu ndiye aliyemuinua kumfikisha hapo ,Mungu ndiye aliyempatia kibali cha kukalia kiti cha Urais ,Mungu ndiye aliyempatia Urais ,Mungu ndiye aliyewatumia baadhi ya watu kuhakisha kuwa agano lake katika ulimwengu wa kiroho linatimilika na Mama Samia anakuwa Rais wa Nchi hii.

Mnakumbuka baada ya Kifo cha Hayati Dkt Magufuli Rais Samia alikuwa mtu wa ngapi kupewa taarifa ya Kifo cha Rais wake? Je ilikuwa ni sawa kikatiba ? Je kikatiba au kiutaratibu alitakiwa awe mtu wa ngapi kupewa taarifa? Je Ndivyo ilivyofanyika na kufuatwa?

Someni kwanza hadi hapo na muendelee kuwa watulivu . Kikubwa ni kuwa mtaona baadhi ya watu kama ambavyo wameanza kujitokeza wakijitokeza hadharani kumshambulia Rais Samia,Kumchafua Rais wetu,kumpaka matope ,kumvunjia heshima ,kumsakizia kila aina ya uchafu kwa lengo la kutaka kuondoa heshima ,imani na uungwaji Mkono wa watanzania kwake.

Watajitokeza kwa lengo la kutaka kupandikiza chuki kali kwa watanzania dhidi ya Rais Samia,watataka umma wote wa watanzania uone Rais Samia siyo kila wala chochote na ni adui wa Taifa hili. Watazusha,kuunganisha maneno ya uongo kuwalaghai na kutaka kuwapumbaza watanzania. Lengo kuu ni kupandikiza chuki tu. Watamshambulia kila mtu watakaye ona hayupo upande wao na ni kikwazo kwao. Yote hiyo ikiwa ni kutafuta uhalali wa kufanya Mapinduzi ya kikatiba na kimaamuzi ndani ya CCM.

Hata hivyo watu na kikundi hicho hakiwezi kamwe na katu kufanikiwa wala kufanikisha ajenda zao hizo ovu. CCM ni zaidi ya chama,Hiki ni chama kikubwa kuliko mtu au kikundi chochote kile hapa Nchini,ni zaidi ya taasisi ,ni zaidi ya mfumo. CCM ni dude Moja kubwa sana ambalo huwezi hata kujua ukishikije.hiki siyo chama unachoweza kukiweka mfukoni mwako wala siyo chama unachoweza kukikunja kama kamba na kukiweka katika mfumo wako.

Ni dude kubwa sana ambalo huwezi kushindana nalo. CCM ikishakwisha kufanya maamuzi yake kama ambavyo imeshafanya katika mashaka yote,huwezi kamwe kufanya Mapinduzi ya kupindua maamuzi yake kwa uasi au kwa kuunda kikundi chako haramu na kilicho kinyume na katiba yetu. Utaishia kuumia tu.

Anayefikiria kuwa yeye ni mkubwa kuliko CCM au anaweza kufanya Mapinduzi ndani ya CCM au anaweza kupindua maamuzi ya chama kwa njia haramu na za mkato .anajisumbua ,anahangaika tu . Hawezi kufanikiwa wala kufanikisha. CCM ni zaidi ya hivi uionavyo machoni pako katika macho yako ya nyama. Hii ni Nchi na huwezi kuitenganisha na uhai wa Nchi hii.hivyo kuichezea CCM ni sawa na kuichezea Nchi hii na usalama wake.

Jaribuni kufuatilia historia ya CCM na namna ilivyoundwa na watu walioiasisi CCM.angalieni viongozi wake wakuu kwa nafasi za Uwenyekiti,Umakamu na ukatibu Mkuu zimewahi kushikwa na akina nani na watu hao wana historia gani kiutumishi na kiutendaji katika Taifa hili. CCM ni Kama vile CIA au FBI ya Marekani au MOSSAD ya Israel. Kucheza na kuichezea CCM ni sawa na kuchezea moto kwa Ulimi.View attachment 3412287

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uvivu tu wa kukwepa bodaboda ya mkataba
 
Usisingizie watu, anajiyumbisha mwemyewe. Kila kitu kina utaratibu wa kanuni, sheria na miongozo - ukiruka hatua hapo ndipo shida inaanza.

No Reforms........
 
Attachments

  • c056daa87cf1efedcef0f645266ec170_1749629076802.mp4
    4.4 MB
Unaweza ukawa na macho na masikio lakini ukawa ni kipofu wa akili na macho.
Ni lini aliwahi kutoka hadharani akakemea utekaji na mauaji ya watu? Rais Mzalendo lazima awe mstari wa mbele kukemea maovu kwenye nchi anayoiongoza. Tuambie ni lini aliwahi kufanya hivyo
 
Una jeshi, polisi,hazina,pesa, za, madawa, chafu, lakini unamuogopa Lisu! Umemfunga, chama, chake umekifunga mdomo kiharamia! Lakini bado hujiamini!
Sipati picha Wangekuwepo Lisu wawili hapa bongo, Ccm wangegawa makalio, waonewe huruma
 
Taja watu acha maneno ya kipumbavu!
 
Ninakazia:

Una jeshi, polisi,hazina,pesa, za, madawa, chafu, lakini unamuogopa Lisu! Umemfunga, chama, chake umekifunga mdomo kiharamia! Lakini bado hujiamini!
Sipati picha Wangekuwepo Lisu wawili hapa bongo, Ccm wangegawa makalio, waonewe huruma
Lissu apambane na hali yake huko gerezani na kujifunza kuchunga na kuwa na adabu kwenye mdomo wake
 
Hivi Kuna mtu alisoma akamaliza huu utopolo

Ila izo sio shida zetu we m
Na mama Yako jipangeni
 
Mtoa maada yeye hata Rais awe hajui kusoma Wala kuandika simply Ni CCM atamwunga mkono...

Mtoa hoja Ni takataka
 
Back
Top Bottom