Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

CHADEMA inajadili tabia za watu na mipasho badala ya kuchambua na kujibu hoja, hoja zilizopo mezani.

Hoja alizoziibua Makonda wanazikwepa, wanawaingiza wakina "Mama" na misemo na mipasho yao. Huo ni Upotoshaji wa makusudi.

CHADEMA wanaendelea na kuongeza sintofahamu, na makosa wanapojadili tabia za Watu na misemo yao badala ya kuchanganua na kujibu hoja zilizopo.

Jamani Makonda ajibiwe hoja zake.
Wewe mkoma kinachojadiliwa hapa ni hoja za hao wauza k . Bashite hajatoa hoja bali mipasho tu kama changudoa fulani tu hivi.
 
Hara chadema kuna pambalu hajuagi anazungumza nini sjui ilkuaje akawa mwenyekiti bavicha vyama vyote kwa sasa kuna waropokaji wengi kuliko wanasiasa na hii ndio changamoto tuliyonayo kwenye vyama vyetu vya siasa atlist Act kuna watu makini unaweza wasikiliza wakitoa hoja, ila cdm na ma ccm ni ushuzi mtupu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025. Badala yake amekuja na vioja eti anawaambia wawape ngono waume zao ili wamchague Samia 2025.

2. Sophia Mjema siku chache kabla ya kutumbuliwa ukatibu mwenezi wa ccm alianika ujinga wa kutoijua katiba na kujikuta akisema rais Samia atasalia madarakani mpk 2035. Yadwa kauli hii ndiyo imemtoa kwenye nafasi hiyo.

3. Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Kinondoni Bi. Anna Hangaya naye katoa boko huko. Badala ya kuhamasisha wanawake wenzake wauone uzuri wa ccm yeye anasema "anaipenda ccm kuliko watoto wake". Hakuna hoja yoyote yenye mashiko aliyozungumza.

Ndipo sasa nauliza, hawa ndiyo wanawake waliosema wakiwezeshwa wanaweza ama tusubirie wengine wazaliwe?
tuambie mamako anafanya shughuli gani
 
mwenyekiti bavicha
Bavicha ni kataasisi ka vijana wanaojitafuta huwezi kulinganisha na ;-
1. Mwenyekiti wa ccm taifa.
2. Mwenyekiti UWT taifa.
3. Mwenyekiti UWT wilaya ya Kinondoni.
 
Back
Top Bottom