Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

Pumba tupu 🚮.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sababu zako Kwa ridhiwan hazina mashiko!

SheIn alikua makam kwa kikwete na Dr.bilali nae!

Inawezekana!
 
WEWE UNACHO ANDIKA NI KU UNDERESTIMATE UPUMBAVU WA KIONGOZI MPUMBAVU ...KANUNI INASEMA KIONGOZI MPUMBAVU UCHAGUANA WAPUMBAVU KWA WAPUMBAVU ILI KUONGOZA ...HIVYO SAMIA VIGEZO ANAVYO TUMIA KUCHAGUA KIONGOZI NI LAZIMA VIWE NI VIGEZO VYA KIPUMBAVU NA KIONGOZI NA LAZIMA ACHAGUE WAPUMBAVU KUONGOZA NAYE. Samia aongozwi na akili wala uzalendo .
 
Maccm wote wana upeo duni.

VP ni nafasi ya kiboya sana. Unakuwa pale kama pambo tu. Ukipewa hiyo nafasi ujue wanakuua kisiasa.
Hata ukisoma Katiba, nafasi ya VP utaona imedogoshwa sana.
 
5. Je. Ni Freeman Aikael Mbowe?

- No way!

- Hakuna mwana CCM wa akili timamu atalikubali hili. Wanaweza kumpa nafasi nyingine, hilo halina ubishi kwa mwenendo na akili zake zinavyoonesha. Lakini kwa u VP asahau...!
Samia akitaka kurudisha nchi kwenye mstari wake acheze hiyo kete hapo juu!
 
Maccm wote wana upeo duni.

VP ni nafasi ya kiboya sana. Unakuwa pale kama pambo tu. Ukipewa hiyo nafasi ujue wanakuua kisiasa.
Kwa sababu Zanzibar almost hamna Wakristu.. ninaye mfahamu mkristo maarufu kutoka zanzibar ni Jaji Augustino Ramadhani tu
 
Haiw
 
Kama mambo yanakwenda ki haramu haramu nini kinashindikana hapo

Rais haramu anashindwa vipi kuleta VP haramu
 
January Makamba ni muislam na mkatoliki pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…