Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

pabro11

Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
60
Reaction score
104
Wakubwa Habari...
Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa?

Ni mimi ndio sielewi ?
Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge?
Ama ile option ya betslip scanner ni kwaajili ya mikeka yako pekee?

Naomba kufahamishwa waungwana
Mfano👇👇
 
Attachments

  • IMG-20250308-WA0004.jpg
    IMG-20250308-WA0004.jpg
    156 KB · Views: 1
Sijui/sina ujuzi sana khs mambo ya betting, lakini hizi kampuni za betting zinawatumia hawa jamaa kama mabaloz wao kujitangaza,,,, ! Kuna commission wanapewa, hata wakiliwa,,,, sasa kuna ng'ombe zinadanganywa zinaingia mkenge,,,, ! Ng'ombe nyingine eti zinanunua mikeka,,, kama huyo anaejinasibu anashinda au mikeka yake inatoa why akuuzie mkeka let's say 20k, alafu wewe ubeti ukashinde laki 5 ? Akili kumkichwa
 
Upo sahihi, wale ni mawakala wao wa kuwaingiza watu kingi. Sina tabia ya kubeti ila jana nilishawishika kubet mechi za ligi kuu za NBC. Nikakutana na post ya huyo jamaa ila nikastuka kukuta kwenye link imejumuisha na jina lake na kwenye kujisajili nako nikakuta link ina jina lake. Nikastuka
 
Sijui/sina ujuzi sana khs mambo ya betting, lakini hizi kampuni za betting zinawatumia hawa jamaa kama mabaloz wao kujitangaza,,,, ! Kuna commission wanapewa, hata wakiliwa,,,, sasa kuna ng'ombe zinadanganywa zinaingia mkenge,,,, ! Ng'ombe nyingine eti zinanunua mikeka,,, kama huyo anaejinasibu anashinda au mikeka yake inatoa why akuuzie mkeka let's say 20k, alafu wewe ubeti ukashinde laki 5 ? Akili kumkichwa
Wale ni wahuni
 
Back
Top Bottom