Upo sahihi, wale ni mawakala wao wa kuwaingiza watu kingi. Sina tabia ya kubeti ila jana nilishawishika kubet mechi za ligi kuu za NBC. Nikakutana na post ya huyo jamaa ila nikastuka kukuta kwenye link imejumuisha na jina lake na kwenye kujisajili nako nikakuta link ina jina lake. NikastukaSijui/sina ujuzi sana khs mambo ya betting, lakini hizi kampuni za betting zinawatumia hawa jamaa kama mabaloz wao kujitangaza,,,, ! Kuna commission wanapewa, hata wakiliwa,,,, sasa kuna ng'ombe zinadanganywa zinaingia mkenge,,,, ! Ng'ombe nyingine eti zinanunua mikeka,,, kama huyo anaejinasibu anashinda au mikeka yake inatoa why akuuzie mkeka let's say 20k, alafu wewe ubeti ukashinde laki 5 ? Akili kumkichwa
Wale ni wahuniSijui/sina ujuzi sana khs mambo ya betting, lakini hizi kampuni za betting zinawatumia hawa jamaa kama mabaloz wao kujitangaza,,,, ! Kuna commission wanapewa, hata wakiliwa,,,, sasa kuna ng'ombe zinadanganywa zinaingia mkenge,,,, ! Ng'ombe nyingine eti zinanunua mikeka,,, kama huyo anaejinasibu anashinda au mikeka yake inatoa why akuuzie mkeka let's say 20k, alafu wewe ubeti ukashinde laki 5 ? Akili kumkichwa