Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Dec 31, 2022 #1 Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa. Soko lao linaishia ndani tu, na wateja wao wengi ni wanawake na watoto.
Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa. Soko lao linaishia ndani tu, na wateja wao wengi ni wanawake na watoto.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Dec 31, 2022 #2 wachekeshaji wa bongo yani picha linaanza anacheka yeye mwenyewe
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Dec 31, 2022 #3 Uchekeshaji wao ni rahisi na uko kilocal sana ila nawapenda kinoma hao jamaa Sean bridon 🤣😂😂kama Tom and Jerry wanawaza kuharibiana tu.
Uchekeshaji wao ni rahisi na uko kilocal sana ila nawapenda kinoma hao jamaa Sean bridon 🤣😂😂kama Tom and Jerry wanawaza kuharibiana tu.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Dec 31, 2022 #4 Kumchekesha mwanamke aliyetoka kwa mwamposa na anayedaiwà kikoba sio kazi ndogo,au mwanaume anayedaiwa ada na kodi ya nyumba,ujipange
Kumchekesha mwanamke aliyetoka kwa mwamposa na anayedaiwà kikoba sio kazi ndogo,au mwanaume anayedaiwa ada na kodi ya nyumba,ujipange
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Dec 31, 2022 #5 Mimi ninakereka sana na wanawake waliojaliwa makalio makubwa kuyatumia kama nyenzo ya uchekeshaji. Huwa naona tu kama matangazo ya biashara nyuma ya pazia. Wenyewe wanaita Yansh
Mimi ninakereka sana na wanawake waliojaliwa makalio makubwa kuyatumia kama nyenzo ya uchekeshaji. Huwa naona tu kama matangazo ya biashara nyuma ya pazia. Wenyewe wanaita Yansh
verifaidi yuza JF-Expert Member Joined Sep 13, 2018 Posts 2,930 Reaction score 5,913 Dec 31, 2022 #6 Hao pichani ni kina nani?