Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Wimbo mzuri sana ni mega hit.Acheni roho zenu mbaya za korosho wakaanga sumu.Nyie ndo mnaompa bichwa Diamond kuwa anaonewa wivu au watu wanaushobokea Seduce me kwa kutaka kumkomoa.Kumbe wala sio hivyo ukweli ni kwamba Ali Kiba katoa wimbo mzuri na umehit kila mahali.Mbona Darasa wimbo wake wa muziki ulipoendwa na haukuhusishwa na Diamond au mwingine?Kwani huu ni wimbo wa Kiba wa kwanza?Mbona Aje ilitoka na haikuhit kama hii?
Msitake kupotosha watu,mwacheni Kiba it is his moment!hapo ndo tunaamini anafanyiwa roho mbaya na hujuma na baadhi ya watu.Acheni hizo roho za kwanini zitawaua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Baambieeee!
 
Nipo na zilipendwa kisha kichupa kingine September moja
Si kama nyie tu hivyo mlivyo vimbele mbele tochi!!!

Sio suala la kufuatilia, maana unakutana tu na nyuzi zimefunguliwa kuhusu hiyo miziki na hauisikii ikipigwa unajua tu huu umebuma wala haina haja ya kufuatilia. Maana muziki mzuri ukiwasha redio tu unakutana nao, ukiwasha tv ndio usiseme mtaani ndio balaa sasa kama kote huko holaa unahitaji degree tena!!!

Ukweli ndani ya nafsi mnaujua, na narudia tena mshukuru sana kuutoa wakati huu angalau mmebustiwa.

Sedyuzika tu mama maana hamna namna.
 
Hao wanajua wanachokifanya, kiba kaachia ngoma, WCB wameachia ngoma, msimu wa Fiesta, "Mwaka huu tutawatumia wasanii wa ndani tu" by boss ruge. (Kuna watu watagawana ule mpunga wanaopewagwa wakin T.I) hao wasanii wanaosaport sijui kiba sijui nani, kuna mtu yupo nyuma yao aka mawingu na jibu kamili tutalipata fiesta ya dar. Sisi wenzangu na mie tuendelee tu kutifuana kwa ajiri yao na kutukanana huku mitandaoni kwa sababu ndio mtaji wao
Kumbe mkuu yani uku watu mapovu yanatutoka kumbe wamepanga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond nae hivi huo wimbo alioimba kama Rose Muhando ,ndo mnakuja kutupigia kelele hapa?
 
Ona unavyowafatilia kwa mifululizo yao tena ukute unaisikiliza vizuri tu. Kumbe kiba hajalalamika ila mashabiki kimbelembele tochi kulalamika ee
Tulieni bana mwanamuziki kazi yake kufyatua good music kama dai sio kupangiwa atoe au asitoe muda atakao yeye
Sawa ametoa lakn ngoma low quality and quantity

Unaona YouTube matusi ya viwers ?

Mwambie dada ako atulize kichwa atunge nyimbo kali
 
naomba itokee wapatanishwe, ndo tutajua nani anatembelea nyota ya mtu. mana kuna mmoja lazima atazima, ziii.
 
Back
Top Bottom