Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pambaneni tu na hali zenu.
#Seduceme#
Exactly ma babe, yaan upo mawazoni mwangu nilitaka kusema ivo. Binafsi kipindi nilikiangalia huyu mleta mada katia chumvi tu ila Kiba ana haki kama ilivi kwa saida karoli , Mondi, Shishi kiuno (kahojiwa majuzi tu hapa) sasa kwa nn shida iwe kwa Kiba au sababu ya 2M views ndani ya siku 2?Unatuhusu kama mojawapo ya hayo yanayohusu nchi, Kiba ni mwanamuziki wa Kitanzania, analipa kodi kupitia kazi zake, anaitangaza nchi kupitia kazi zake.
And ofcoz kazi na dawa, kipindi kilizungumzia mambo mengi tuuu, hukuyaona hayo yooote ukaja kuona hilo la Kiba tu!!! Je kipindi chote kutoka 12:00asubuhi hadi saa4:00 asubuhi kiliongelea huo wimbo tu?
hata siifahamu hiyo zilipendwa muwe wakweli dai ametingishwa nyimbo imepotelea juu kwa juuIle nyimbo yan huku mtaani hata siisikii asee.Watu wanapmbana na zilipendwa huku
Mnatapatapa sana,mnatia aibu aisee sio mbaya coz mlisema wenyewe tweet waachiwe mashabiki,jitahidini kutweet tuShida inakuja diamond ana maadui wengi sn na watu hawapendi vile mtoto wa mbwa kutoka tandale anavyoishi kifalme...inawauma yale majivuno yake lkn wamesahau mtoto wa watu alivyokuwa maskini alidharaulika...jamaA anaanza mziki mara anajua kuimba ila sura mbaya...mara hajui kingereza saivi wanasema mziki wake ujanja ujanja...yule ni simba mzee kakwepa mikuki mingi sn..hawataweza na hizo promo na kick wabazompa kiba ipo siku watanyoosha mikono juu nKusema simba ni nyoko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mange si ni timu kiba toka zamanii,,,we dai alivyoona mwenzie kayoa nyimbo kwanini asikae kimya mpaka nae atoe kakutana na za uso na hakutegemwa ahahhaMie timu man u ila nasema ukweli kiba kabebwa na bifu na mange pia. Pitia comments humu au threads za kiba uone wanavyomsifia mange kuupaisha wimbo wa kiba
Kwani mange si ni timu kiba toka zamanii,,,we dai alivyoona mwenzie kayoa nyimbo kwanini asikae kimya mpaka nae atoe kakutana na za uso na hakutegemwa ahahha
Hata bila mange mziki ni mzurii,,na alivyosapot ni vyema zaidi maana daimond ana dharau
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kwani nilikwambia uuone mbaya au nimesema kwa upande wanguHahahaha....Yani team diamond mnafurahisha sana.....Leo mnakuja na gia ya kutokuwa na timu? Hhahaha, sasa ishu iko hivi....Kama wewe hujauona kuwa ni mzuri...Kina moodewji, prof jay, ngeleja, kigwangala, mwanafa, ridhiwani, itv, clouds, earadio, mimi, mke wangu,etc wote wameuona ni mzuri...
So we pambana na hali yako tu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya inamtafuna tu hakuna kingine, kusifia wimbo hakujaanzia kwa Kiba mbona!! Several times huwa wanasifia wimbo pale unapokuwa umewagusa.Exactly ma babe, yaan upo mawazoni mwangu nilitaka kusema ivo. Binafsi kipindi nilikiangalia huyu mleta mada katia chumvi tu ila Kiba ana haki kama ilivi kwa saida karoli , Mondi, Shishi kiuno (kahojiwa majuzi tu hapa) sasa kwa nn shida iwe kwa Kiba au sababu ya 2M views ndani ya siku 2?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana.Kitu seduce me..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Akikujibu unitag.....team kiba wanatapTap sana kama wamekula ugali wa moto.....time will tell......na domo inabidi akae kimy maswala ya vijembe na uswahili usio na tija aache yaNi sijui kwa nn hajifunzi yaani ananikera apo tu.Kwani nilikwambia uuone mbaya au nimesema kwa upande wangu
Sinaga mambo ya ushabiki ila nasikilizaga nyimbo yoyote nzuri, timu ni ujinga kwa upande wangu, sinaga hiyo small mind
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama hata hapa unaniseduce sio kitoto![emoji8] [emoji8][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Waiting for you to seduce me honey.
Huwezi uliza "why dai" if yo realy serious na upo TZ maybe kama umetokea Mars!!Mange ni team dai ,ccm tangu mwanzo. Kaenda kwa kiba baada ya wema kumuacha dai kisha kutaka kurudi na kukuta zari kaweka makazi ya kudumu. Ccm ilipomtosa kumpa vyeo alivyotaka akajipeleka ukawa
Mbona aslay katoa wimbo hamlalamiki katoa wakat kiba katoa y dai?sababu dai ndo kiboko yenu,hamumuwezi hata kidogo kashfa zote mmemtupia ila hamjamshusha
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Huwezi uliza "why dai" if yo realy serious na upo TZ maybe kama umetokea Mars!!
The answer is veryyyyyyyyyy obvious Numbisa.
Kuna haka kabinti kanaitwa Lulu elizabeth kalisema kwamba kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya ule uzuri wake hata hauonekaniMust niulize dai hana makosa kwake muziki ni biashara. Kama kiba anajiamini basi atoe au asitoe haina haja ya kulalamika kisa dai katoa wimbo.
Hahaha huko mars nimependa tuombeane bana nikaishi huko
Njoo pande zile babe[emoji8] [emoji8][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Love you hubby!