Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order

Even a black folk hate to see another nigga made it..
Mie mange alisha niblock kitamboo!
Nilimpa za uso ndo akanifungia mlango nisiingie kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na mtazamo wako kua,
Wimbo wa kiba hauna cha maana kwenye maneno hata mimi binafsi siuelewi, ni kama ule wa Darassa (Muziki) ulivuma ila sikuona cha maana alichoimba.

Ila huu wa kiba una chorus nzuri.
Mipangilio ya midundo imekaa vizuri sana.

Na ndio naona uzuri wa huu wimbo ukilinganisha na ule wa Diamond ambao ni mbovu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo wa alikiba seduce me ni mbaya unazidiwa hata na Cinderella
Dah! Natofautiana na wewe, Kiba katika maisha yake ya kimuziki, kamwe hajawahi toa muziki mzuri kama huu wa seduce me. Kwenye "Seduce Me" Sauti yake imekomaa nzito kwa mara ya kwanza. Ni zaidi ya sauti ile ya zamani aliokua akiitumia huko nyuma ya kitoto.

Cinderela ni kama miziki ya Mr. Nice ya kuwahadithia watoto hadithi za kutunga za live happily ever after. In fact jina Cinderella tu ni fable. He was a child. Simlaumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo inayofuata ya Ali kiba baada ya seduce me itatengenezwa na studio zipatazo 4,

1. ROCKSTAR 4000 STUDIO.

2. SONY MUSIC STUDIO

3. COKE STUDIO

4. 19 RECORDS STUDIO
 
"..mjinga mmoja anaweza sambaza uongo na ukawaathiri watu elfu moja kama hawatakuwa na upeo wa kutosha pia busara ya kugundua kuwa huo ni ujinga.."

Ugiligili
 
Maadui wa dai so wanampaisha ali kinafiki wakidhani wataweza kumshusha dai
Roho mbaya kitu cha ajabu huyo kiba kaa kimya zaid ya mwaka kamuachaa diamond Anatoa nyimbo kibao ,eneka,I miss u, fire na zote hizo katoa ndani ya miez 2. Afu unasema kiba anashindwanishwa na mond

Kiba ana kipaji na huo wivu wenu sasa hiv mmechemka kumfanyia vigigusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku zote dhambi ya ubaguzi na chuki huwa inasambaa kama moto wa nyikani..
Kwenye hili suala, maadui wa Bashite kwa hivi sasa pia ni maadui wa Diamond..
Bashite ndio mlezi wa WCB.
 
Ngoma imepiga 2m viewers mpaka sasa....... avha nikalale
So fans wa Kiba wameangalia wimbo ili kumkomoa tu Dayamondi sio sababu wimbo wake ni mzuri! In a month wimbo wa Dayamondi utakua na views zaidi I believe. Wabongo bana
 
Kazini bana alaa
21149223_169404436955116_9187330238969806848_n.jpg

Roho mbaya kitu cha ajabu huyo kiba kaa kimya zaid ya mwaka kamuachaa diamond Anatoa nyimbo kibao ,eneka,I miss u, fire na zote hizo katoa ndani ya miez 2. Afu unasema kiba anashindwanishwa na mond

Kiba ana kipaji na huo wivu wenu sasa hiv mmechemka kumfanyia vigigusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Watz sijui nani katuloga ,sijui kwa nini tunapenda kushabikia mambo yasiyokuwa na tija,what is so special in that song?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, naona mmekuja kivingine....Kwani what is so special about any other song? What is so special about zilipendwa? Or My number one?

What was so special in hainaga ushemeji? Ambayo watu waliiponda sana humu but mtaani ilibamba sana...

Yani iko hivi, kama vile wewe unavyoona nyimbo unazozipenda ni nzuri, wapo wanaoziona za kawaida tu....Maisha yapo hivyo...Ikiwa ni ujinga watu wengine kupenda wimbo ambao wewe hujaupenda (possibly kwa chuki zako binafsi) basi pia wewe utakuwa mpumbavu kupenda nyimbo ambazo wengine wanaona za kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order

Even a black folk hate to see another nigga made it..
Kwa nini mnadhani kusifiwa Ali Kiba ni kumshusha mwingine? Kwa nini nyie msiopenda Ali Kiba afanikiwe ndo muwe watu wazuri?

Unajua hata wale vichaa wanaokula kwenye takataka huwa wanaona watu wengine wazima ni vichaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie timu man u ila nasema ukweli kiba kabebwa na bifu na mange pia. Pitia comments humu au threads za kiba uone wanavyomsifia mange kuupaisha wimbo wa kiba
Mim ni timu dai lakin kiba kajitahidii vibayaa ,,,na sasa hiv nawapenda wote
 
Back
Top Bottom