Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Halafu hawakubali kuambiwa ukweli
Hahahaa
NDO ILIKUA kazi yao juzi,kama mataahira Fulani gozwa na mange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa
NDO ILIKUA kazi yao juzi,kama mataahira Fulani gozwa na mange
Hahahaha....Yani team diamond mnafurahisha sana.....Leo mnakuja na gia ya kutokuwa na timu? Hhahaha, sasa ishu iko hivi....Kama wewe hujauona kuwa ni mzuri...Kina moodewji, prof jay, ngeleja, kigwangala, mwanafa, ridhiwani, itv, clouds, earadio, mimi, mke wangu,etc wote wameuona ni mzuri...Mi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Watz we na nani!?hivi kwann tupenda kupangiana vya kupenda!?tunampenda na tunamuelewa alikiba na seduce me ndo nyimbo ya taifa Kwa sasa hutaki jizike mzima mzima...Yaani Watz sijui nani katuloga ,sijui kwa nini tunapenda kushabikia mambo yasiyokuwa na tija,what is so special in that song?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yooooo.....na utamchukia snaaaSauti ya ali kiba siipendiiiii...........NAMUONA KM MLAZIMISHAJI BADALA YA MUIMBAJI. Kujaribu kupambana na dai ni kujipoteza zaidi
Badala ya kujibu swali unamtusi muuliza swali.Ila nimekusamehe kwani hata unaemshabikia ndio tabia zake hizi.Kama sio unafiki mbona maoni yangu yamekuuma mpaka umeniquote?
Badala ya kujibu swali unamtusi muuliza swali.Ila nimekusamehe kwani hata unaemshabikia ndio tabia zake hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
afu kuna mtu anasema haielewi! Tatizo ni lake.Ngoma imepiga 2m viewers mpaka sasa....... avha nikalale
Yaan timu Mondi wakubali tuu kwamba this time ni time ya kibaHaya ndio matatizo ya watanzania!
Sasa ulitaka watu wote wamsifie huyo dai?
Chuki ndio kitu Mtanzania anaweza kwa haraka sana!So akisifiwa domo sawa wengne wanapaishwa hahahaa mtakufa mmenuna this year
Hata pale Kingstone, Jamaica. Kuna watu walikuwa hawamkubali Mzee Nesta, lakini USA, Ethiopia mpk Zimbabwe Bob alikuwa maarufu!Si lazima kila mtu aipende seduce me
Yesu mwana wa mungu wapo walimpinga sembuse ally kiba
Pambana na chuki zako
Mkuu Kosa lao umeliona ila Kosa lako la kumfollow Mange hulioni!Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order
Even a black folk hate to see another nigga made it..
mtakufa mwaka huu, huu mnyoosho hamtausahau.Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Kwani Kiba anapeperusha bendera ya TFF?Rais alimpongeza kwa sababu Mondi anapeperusha bendera ya nchi ,hakupiga simu na kuanza kusifia wimbo flani.
Sent using Jamii Forums mobile app