Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole mkuu kama n wewe binafsi ndo ujaekewa huu wimbo coz hata kichaa huwa anaona binadamu wote hawana akil ila yeye binafsi ndo yupo vzur kiakil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena clouds kipindi cha nyuma walimuita mond kwenye interview na wakamsifu kwa kazi zake Leo hii wanajifanya kwamba wameuelewa Sana wimbo wa kiba fakeni kabisa clouds

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi nyinyi mna utindio wa ubongo,kwahiyo mnataka daily aitwe diamond tu hebu kuweni real

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
 
Si ndio hapo sasa! Hawaamini majicho yao kwa kilichotokea kwakweli.
Seduce me ndio habari yote.
ukawa vs 1 man army

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
 
Sauti ya ali kiba siipendiiiii...........NAMUONA KM MLAZIMISHAJI BADALA YA MUIMBAJI. Kujaribu kupambana na dai ni kujipoteza zaidi
 
Sauti ya ali kiba siipendiiiii...........NAMUONA KM MLAZIMISHAJI BADALA YA MUIMBAJI. Kujaribu kupambana na dai ni kujipoteza zaidi
Kwani kiba anapambana na diamond,au diamond ndo anapambana na kiba? Refer beef la juzi ndo utajua nani anataka kupambana na mwenzie
 
Kama ni shabiki mkubwa wa nyimbo za singeli, bila shaka wimbo wa ZILIPENDWA utakuwa unasound fresh kwenye masikio lkn ukiwa mtu wa kusikiliza nyimbo za kawaida nzuri ambazo hutoki jasho pindi uchezapo basi hiyo SEDUCE ME ni chaguo lako.. kwa maana nyingine uswazi Wimbo wa ZILIPENDWA unasikilizwa sana kutokana na nature yao.. lkn sehemu tulivu hasa mijini sana ule SEDUCE ME unasikilizwa sana kutokana na nature ya watu watulivu na wenye hekima..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wangepewa dhamana ya uhai wangempoteza simba lakini Mungu sio shemeji yao chuki zenu mkanywee chai simba will be simbaa tu itaneni kijijichote vigagulaz
 
Back
Top Bottom