Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji350] [emoji350] [emoji350]

2M viewerssss!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nawaona wanavyokereka, ila ndio hivyo tena hamna jinsi. Wawaache watu waupende tu maana ingekuwa kasifiwa domo walaaa yasingewatoka hayo ya kuwatoka. Wasedyuzike tu.
 
Hao wanajua wanachokifanya, kiba kaachia ngoma, WCB wameachia ngoma, msimu wa Fiesta, "Mwaka huu tutawatumia wasanii wa ndani tu" by boss ruge. (Kuna watu watagawana ule mpunga wanaopewagwa wakin T.I) hao wasanii wanaosaport sijui kiba sijui nani, kuna mtu yupo nyuma yao aka mawingu na jibu kamili tutalipata fiesta ya dar. Sisi wenzangu na mie tuendelee tu kutifuana kwa ajiri yao na kutukanana huku mitandaoni kwa sababu ndio mtaji wao
Mtatunga sana story mwaka huu.

Sedyuzika tu maana no way out.
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu mtoto wa kiume! Kwa nini wasisapoti vya kwetu?
 
Yaani Watz sijui nani katuloga ,sijui kwa nini tunapenda kushabikia mambo yasiyokuwa na tija,what is so special in that song?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unajua wewe ni mtoto sana wenzio wakipenda kitu hata kama hukipend ni laZima nao wakichukie?ndo maana hakuna kitu kinachoweza kupendwa au kuchukiwa na watu wote na kama hukukipenda kaa kimya unalalamika nini nashangaa mtu unalalamika kama hauna ishu ya maana ya kufanya
 
Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order

Even a black folk hate to see another nigga made it..
Angepost mondi hiyo miuno ungefurahiii!
Mnune tu at yo own risk.
#seduceme#
 
Poa,rudi kazin bana,views zitadondoka
21149223_169404436955116_9187330238969806848_n.jpg

Huo ni mtazamo wako tyuu wacha na wengine wasifie chao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nawaona wanavyokereka, ila ndio hivyo tena hamna jinsi. Wawaache watu waupende tu maana ingekuwa kasifiwa domo walaaa yasingewatoka hayo ya kuwatoka. Wasedyuzike tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sana my dear unanikumbusha mbaali sana mpenzi wanguuu..!!!

Yaani always wao wanataka apande mmoja tu!
Hawajui kua Mungu ana wakati wakee

Wako hooooiii!
Hawajui power of people!!!!
 
Back
Top Bottom