Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Kama nawaona wanavyokereka, ila ndio hivyo tena hamna jinsi. Wawaache watu waupende tu maana ingekuwa kasifiwa domo walaaa yasingewatoka hayo ya kuwatoka. Wasedyuzike tu.
Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order

Even a black folk hate to see another nigga made it..
Wivu wa nini? Kata mauno,jirekodi nawe upostiwe!
 
Shida inakuja diamond ana maadui wengi sn na watu hawapendi vile mtoto wa mbwa kutoka tandale anavyoishi kifalme...inawauma yale majivuno yake lkn wamesahau mtoto wa watu alivyokuwa maskini alidharaulika...jamaA anaanza mziki mara anajua kuimba ila sura mbaya...mara hajui kingereza saivi wanasema mziki wake ujanja ujanja...yule ni simba mzee kakwepa mikuki mingi sn..hawataweza na hizo promo na kick wabazompa kiba ipo siku watanyoosha mikono juu nKusema simba ni nyoko

Sent using Jamii Forums mobile app
Munajitetea kwa mtindo huo,mupate huruma ya mashabiki,hahahahaha
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sana my dear unanikumbusha mbaali sana mpenzi wanguuu..!!!

Yaani always wao wanataka apande mmoja tu!
Hawajui kua Mungu ana wakati wakee

Wako hooooiii!
Hawajui power of people!!!!
Yaani nimekumbuka enzi zileeeeeeeee!
Kama namuona Numbisa alivyovimbisha vishavu[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Wamuwache tu Kiba wetu jamani, seduce me ndio habari ya mujini.
 
Mi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasiraa
Seduce meeee!!!haijawahi kumuacha mtu salama
 
Hivi na siku ile diamond alivyopewa mualiko na kina bebikabae asubuhi,na rais mpendwa akapiga simu na kuzungumza nao,hakukuwa na mambo mengi ya kuzungumzia yanayogusa maslahi ya nchi?
 
Mi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada
 
Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuhusu kama mojawapo ya hayo yanayohusu nchi, Kiba ni mwanamuziki wa Kitanzania, analipa kodi kupitia kazi zake, anaitangaza nchi kupitia kazi zake.

And ofcoz kazi na dawa, kipindi kilizungumzia mambo mengi tuuu, hukuyaona hayo yooote ukaja kuona hilo la Kiba tu!!! Je kipindi chote kutoka 12:00asubuhi hadi saa4:00 asubuhi kiliongelea huo wimbo tu?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasiraa
Seduce meeee!!!haijawahi kumuacha mtu salama
Hahahahaha! Yani jamaa kawa kama hajielewi.kachanganyikiwa na Seduce me inavyokamata mtaani
 
kiufupi mimi naukubali mwimbo wa daimond zaidi kuliko huu wa ali kiba lakini sijaona kosa kwa 360 kuonyesha na wao kupendezwa kwao kwa kile nafsi zao zinavyopenda. Tusipangiane Bwana Kitu cha kupenda..
 
Hao wanaume wa mikoani wanasifia dai akikata mauno au kuchezeana na hawara yake
Limewashukaaaa kweli
Si ndio hapo sasa! Hawaamini majicho yao kwa kilichotokea kwakweli.
Seduce me ndio habari yote.
 
Tena clouds kipindi cha nyuma walimuita mond kwenye interview na wakamsifu kwa kazi zake Leo hii wanajifanya kwamba wameuelewa Sana wimbo wa kiba fakeni kabisa clouds

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wamekataa kumsifu na kazi zake?
Kwani diamond ni kituo chake kile kimpe promo yeye tu?
Kwani Tanzania msanii ni diamond tu?
Kwani Tanzania msanii ni alikiba tu?
Kwani wasanii wengine hawajawahi kwenda kufanyiwa interview na kupewa moyo zidi ya kazi zao?
Hivi unajua kuwa ile clouds inaitwa the peoples station?
Unajua maana ya the peoples station?
 
Back
Top Bottom