Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
HahahahahaWaugue pole tu, seduce me ndio ishashika hivyo! Labda wazime mitandao na redio zote sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaWaugue pole tu, seduce me ndio ishashika hivyo! Labda wazime mitandao na redio zote sasa!
mkuu si zimetoka nyimbo mbili kwa siku moja,Wimbo sha usikiliza mwanzo mwisho sijaona cha maana afadhari hata nisikilize Msondo ngoma unaniliwaza kuliko hata wimbo huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole mkuu kama n wewe binafsi ndo ujaekewa huu wimbo coz hata kichaa huwa anaona binadamu wote hawana akil ila yeye binafsi ndo yupo vzur kiakilLeo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi nyinyi mna utindio wa ubongo,kwahiyo mnataka daily aitwe diamond tu hebu kuweni realTena clouds kipindi cha nyuma walimuita mond kwenye interview na wakamsifu kwa kazi zake Leo hii wanajifanya kwamba wameuelewa Sana wimbo wa kiba fakeni kabisa clouds
Sent using Jamii Forums mobile app
ukawa vs 1 man armySi ndio hapo sasa! Hawaamini majicho yao kwa kilichotokea kwakweli.
Seduce me ndio habari yote.
Ukikua utaulewa uzuri wa huo mziki dogoWimbo sha usikiliza mwanzo mwisho sijaona cha maana afadhari hata nisikilize Msondo ngoma unaniliwaza kuliko hata wimbo huu
Sent using Jamii Forums mobile app
NDO ILIKUA kazi yao juzi,kama mataahira Fulani gozwa na mangeRudi kazini basi kesho ifike 3mView attachment 576814
Watu kutoa maoni yao binafsi ni unafiki?Maadui wa dai so wanampaisha ali kinafiki wakidhani wataweza kumshusha dai
Sindo hapoHahahahaha! Huku tulipofika kubaya,yani watu wanafikia hatua hadi ya kutaka washindani wao wabaniwe promo na kupewa moyo,ila wapewe wao tu.
Kwani kiba anapambana na diamond,au diamond ndo anapambana na kiba? Refer beef la juzi ndo utajua nani anataka kupambana na mwenzieSauti ya ali kiba siipendiiiii...........NAMUONA KM MLAZIMISHAJI BADALA YA MUIMBAJI. Kujaribu kupambana na dai ni kujipoteza zaidi
Mim ni timu dai lakin kiba kajitahidii vibayaa ,,,na sasa hiv nawapenda woteMaadui wa dai so wanampaisha ali kinafiki wakidhani wataweza kumshusha dai
Hahahahahaukawa vs 1 man army
Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
Sasa mnataka awe anasifiwa daimond tu,,mmesahau ile ni radio na tv lazima na kiba aitwe na yeye,,mbona mna chuki hiviTena clouds kipindi cha nyuma walimuita mond kwenye interview na wakamsifu kwa kazi zake Leo hii wanajifanya kwamba wameuelewa Sana wimbo wa kiba fakeni kabisa clouds
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilipendwa pia hauwezi fikia hata ule wa nataka kulewa..Wimbo wa alikiba seduce me ni mbaya unazidiwa hata na Cinderella
Zilipendwa ndio mziki gani?