Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Baambieeee!Wimbo mzuri sana ni mega hit.Acheni roho zenu mbaya za korosho wakaanga sumu.Nyie ndo mnaompa bichwa Diamond kuwa anaonewa wivu au watu wanaushobokea Seduce me kwa kutaka kumkomoa.Kumbe wala sio hivyo ukweli ni kwamba Ali Kiba katoa wimbo mzuri na umehit kila mahali.Mbona Darasa wimbo wake wa muziki ulipoendwa na haukuhusishwa na Diamond au mwingine?Kwani huu ni wimbo wa Kiba wa kwanza?Mbona Aje ilitoka na haikuhit kama hii?
Msitake kupotosha watu,mwacheni Kiba it is his moment!hapo ndo tunaamini anafanyiwa roho mbaya na hujuma na baadhi ya watu.Acheni hizo roho za kwanini zitawaua!!
Sent using Jamii Forums mobile app