steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Kuna siku niliwaona ubungo [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa miaka yote nilikuwa najua Hawa jamaa wanaishi Dar kwakuwa gazeti lililokuwa linawachora lilikuwa ni la Dar es Salaama
Kumbe aliyekuwa anawachora ndiyo alikuwa anaishi Dar
View attachment 1374648
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania
[emoji1787][emoji1787] Ujue we binti mdogo sana hii mara ya pili nakuona ujueNi kina nani hao?
[emoji1787][emoji1787] Ujue we binti mdogo sana hii mara ya pili nakuona ujue
Hahhaha usijitetee kuhusu ufatiliaji yaani joanah mdogo sanaMara ya pili unaona udogo wangu?[emoji23][emoji23]
Mie sio mdogo sana,ni vile tu sio mfuatiliaji sana labda ndio maana hata hao watu siwafahamu
Shikamoo bibi![emoji86][emoji86][emoji86]Kweli kabisa akina Comrade kipepe na Njomba Nsumari,kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha, umenikumbusha mbali sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Totoo mambo?[emoji16][emoji16][emoji16]Mara ya pili unaona udogo wangu?[emoji23][emoji23]
Mie sio mdogo sana,ni vile tu sio mfuatiliaji sana labda ndio maana hata hao watu siwafahamu
Shikamoo bibi![emoji86][emoji86][emoji86]
Kama huwajui basi we mtotoWabongo ni wabovu sana wa kujibu maswali kubabake!
Kweli ndio tuaibisha wa nje ya dar.. kwahiyo ulidhani hao ni watu?Kwa miaka yote nilikuwa najua Hawa jamaa wanaishi Dar kwakuwa gazeti lililokuwa linawachora lilikuwa ni la Dar es Salaama
Kumbe aliyekuwa anawachora ndiyo alikuwa anaishi Dar
View attachment 1374648
Sent using Jamii Forums mobile app