Hawa jamaa nilikuwa najua wanaishi Dar

Hawa jamaa nilikuwa najua wanaishi Dar

Ni kina nani hao?
L-R Ndumilakuwili na Sokomoko. Hawa ni karaktas maarufu ktk gazeti la Sani. Ndumilakuwili alikuwa misheni tauni wakati Sokomoko yeye alikuwa Cha Pombe. Mchoraji Mkuu wa hizo katuni alikuwa anaitwa Philip Ndunguru (RIP)
Hii nchi ilishawahi kuwa na vipaji vya Sanaa ya uchoraji.
 
Hahhaha usijitetee kuhusu ufatiliaji yaani joanah mdogo sana

Kuna siku pia sijui nilikuona wapi ukasema humfahamu huyo mtu au huifahamu nyimbo iliyowekwa ila leo nimeshindwa kuvumilia [emoji23]

bae Shunie sijui una umri gani lakini, i wish nijue siku moja[emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sokomoko na Ndumi la kuwili!

Gazeti la Sani kipindi hicho!
 
Kuna mwengine Dogo wa gazeti la Alasiri.
 
L-R Ndumilakuwili na Sokomoko. Hawa ni karaktas maarufu ktk gazeti la Sani. Ndumilakuwili alikuwa misheni tauni wakati Sokomoko yeye alikuwa Cha Pombe. Mchoraji Mkuu wa hizo katuni alikuwa anaitwa Philip Ndunguru (RIP)
Hii nchi ilishawahi kuwa na vipaji vya Sanaa ya uchoraji.
Pia wachoraji kama Chris katembo, Fortunas Ndila na wengineo kibao
 
Hahhaha usijitetee kuhusu ufatiliaji yaani joanah mdogo sana

Kuna siku pia sijui nilikuona wapi ukasema humfahamu huyo mtu au huifahamu nyimbo iliyowekwa ila leo nimeshindwa kuvumilia [emoji23]

Sifuatilii sana kweli,sio ishu ya umri 😂😂😂
 
Back
Top Bottom