Wabongo ni wabovu sana wa kujibu maswali kubabake!
Babe kwani wewe sio wa Dar?Kweli ndio tuaibisha wa nje ya dar.. kwahiyo ulidhani hao ni watu?
Kweli kabisa akina Comrade kipepe na Njomba Nsumari,kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha, umenikumbusha mbali sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar kwa wazazi swiriii.. mimi mzee wakuzunguka tz nzima throughout a year
L-R Ndumilakuwili na Sokomoko. Hawa ni karaktas maarufu ktk gazeti la Sani. Ndumilakuwili alikuwa misheni tauni wakati Sokomoko yeye alikuwa Cha Pombe. Mchoraji Mkuu wa hizo katuni alikuwa anaitwa Philip Ndunguru (RIP)Ni kina nani hao?
Duh. Mwaka huu tuzunguke wote basiDar kwa wazazi swiriii.. mimi mzee wakuzunguka tz nzima throughout a year
Kumbe JF tunajichanganya na Wajukuu!? [emoji1787]Ni kina nani hao?
Hahhaha usijitetee kuhusu ufatiliaji yaani joanah mdogo sana
Kuna siku pia sijui nilikuona wapi ukasema humfahamu huyo mtu au huifahamu nyimbo iliyowekwa ila leo nimeshindwa kuvumilia [emoji23]
Kwa miaka yote nilikuwa najua Hawa jamaa wanaishi Dar kwakuwa gazeti lililokuwa linawachora lilikuwa ni la Dar es Salaama
Kumbe aliyekuwa anawachora ndiyo alikuwa anaishi Dar
View attachment 1374648
Sent using Jamii Forums mobile app
π€Mara ya pili unaona udogo wangu?ππ
Mie sio mdogo sana,ni vile tu sio mfuatiliaji sana labda ndio maana hata hao watu siwafahamu
Pia wachoraji kama Chris katembo, Fortunas Ndila na wengineo kibaoL-R Ndumilakuwili na Sokomoko. Hawa ni karaktas maarufu ktk gazeti la Sani. Ndumilakuwili alikuwa misheni tauni wakati Sokomoko yeye alikuwa Cha Pombe. Mchoraji Mkuu wa hizo katuni alikuwa anaitwa Philip Ndunguru (RIP)
Hii nchi ilishawahi kuwa na vipaji vya Sanaa ya uchoraji.
Hahhaha usijitetee kuhusu ufatiliaji yaani joanah mdogo sana
Kuna siku pia sijui nilikuona wapi ukasema humfahamu huyo mtu au huifahamu nyimbo iliyowekwa ila leo nimeshindwa kuvumilia [emoji23]
Uwe unajibu swali
Wakina mapungo...daaah ..unawakuta gazeti la bongo..na lingine lilikua linaitwa tabasamu