Halafu enzi hizo pia kulikuwa na series kwenye haya magazin:
Bongo: Anga za wenyewe, starring Obi na demu wake Linda, mdogo ake Linda anaitwa Seba kubwa la maadui Mzee Ole na mlinzi wake mkuu anaitwa Zumo.
Sani: Ngumi za Zena na Betina.
Character wa mfanano:
Sani vs Bongo:
Kipepe vs Njomba Nchumali,
Madenge vs Kiokote,
Ndumilakuwili vs Bob Mikwara
Mzee Sani vs Mzee Bongo
Alexander The Great