Hawa ma bilionea wa Kibongo mbona hawana Private Jets wala Yachts?

Hawa ma bilionea wa Kibongo mbona hawana Private Jets wala Yachts?

LEMONT BISHOP

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
85
Reaction score
88
Airbus-A380-Owner-Prince-Al-Waleed-Bin-Talal.png

PRINCE AL WALEED BIN TALAL KWENYE PRIVATE PLANE YAKE YA AIRIBUS A380


Hapa sizungumziii viji private jets vya kukodisha au lile ngalawa ambalo mabilionea wanaenda nalo kisiwa cha mbudya.

Halafu maudhi makubwa zaidi husikii hata waki hire hizo private jets wala private airstrips

kabla hatujaendelea costs za kukodisha ni hizi hapa (note to; Shivacom, Lau masha, chale mutawali, muddymas, homeshopping centre, ndama, abubakar bakhressa, joseph kusaga, nimrod Mkono, William billionea Malecela,Gulamhussein, Mo Dewji, Omari Kimbau, Juma Pinto, Kinje, the rugemaliras, the Mengis, the Mbowes, the Mkapas, the mareales, the mwinyis, the moshas, the akidas, the mbugunis)

Hizi ni rates per hour (costs hizi ni minus transportation to and from airport, two full-time captains, a flight attendant, crew per diems, landing, ramp, parking, fuel surcharge, taxes, etc)

[TABLE="width: 225"]
[TR]
[TD="width: 141"]Gulfstream 550[/TD]
[TD="width: 83"]$8,640[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Global Express/XRS[/TD]
[TD]$8,045[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Falcon 7X[/TD]
[TD]$7,865[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Falcon 900[/TD]
[TD]$6,075[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gulfstream IV[/TD]
[TD]$5,884[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Challenger 604[/TD]
[TD]$5,053[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Citation X[/TD]
[TD]$4,533[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hawker 800[/TD]
[TD]$3,582[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Citation Excel/XLS[/TD]
[TD]$3,388[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Learjet 60[/TD]
[TD]$3,347[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Citation Mustang[/TD]
[TD]$1,674[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Nadhani kwa taarifa zaidi mnaweza kumcontact Susan Mashibe wa TanJet atawapa current rates

Lakini nimechoka and I find it abit tiring watu wazima kushindana vipando ambavyo hata Jery Silaaa anavyo. How hard is it for our ballers wakawa na PJ hangers zao....as a matter of fact how hard kwa hawa watu kuwa na helicopters zao?

Note kwa Mengi na Mo Dewji: ni kuwa Bombardier’s Global 8000, one of the longest range private jets on the market, can go 7,900 nautical miles on a single tank of gas, flying at Mach 0.85 with 8 passengers. With a fuel capacity of 48,950 lbs, it costs approximately $53,000 to fill the tank.

Kinachonitia kichefu chefu ni mambo ya kubanana na hawa watwana kwenye emirates business class na kulazimishwa kusemeshwa as if mtu unataka kuongea nao

I'm fed na hawa jamaa zetu. Ukiwauliza wangapi kati yao wanasomeshwa watoto wao in the worlds best/top private schools hakuna...WTF??
 
Maintanance ya hyo ndege hapo juu kwa mwaka mzima ni bajeti ya wizara nzima
 
Weeeeeeee hela ndefu hizo...tajiri wa bongo kastruggle weeee ka escrow weee halafu atupe tu hela yake???

Bness class zitawahusu sana
 
nahisi ni life style tu ya mtu binafsi, mfano ni mdogo Aliko Dangote ana utajiri ambao ni mkubwa kiasi kwamba Abromovich anaweza kuingia kama mara 7, lakini mbwe mbwe na matanuzi anayofanya Abromivich unaweza fikiri Dangote cha mtoto.
Wenzetu wanajua kuspend kuna familia za wenzetu wana vipato vya kawaida lakini uwa wanaenda vacation wanatembelea sehemu nzuri wana relax, ila kwa mbongo ni tofauti ni familia chache unasikia zimetembelea mlima Kilimanjaro au mbuga flani japo kuwa unakuta ni familia zinazo jiweza.
 
Bilionea Chibu Dangote ndio anafanya utaratibu wa kulipia Yatch yake.

Stay tuned..............................
 
Sijamuona Mie hata mmoja Kati ya hao ulio wataja kumkaribia Prince Waleed, Kama pesa basi wanazo zakubadilishia mboga....
 
nahisi ni life style tu ya mtu binafsi, mfano ni mdogo Aliko Dangote ana utajiri ambao ni mkubwa kiasi kwamba Abromovich anaweza kuingia kama mara 7, lakini mbwe mbwe na matanuzi anayofanya Abromivich unaweza fikiri Dangote cha mtoto.
Wenzetu wanajua kuspend kuna familia za wenzetu wana vipato vya kawaida lakini uwa wanaenda vacation wanatembelea sehemu nzuri wana relax, ila kwa mbongo ni tofauti ni familia chache unasikia zimetembelea mlima Kilimanjaro au mbuga flani japo kuwa unakuta ni familia zinazo jiweza.

True that, ukiangalia Dangote ni tajiri kumpita hata huyo Prince Walid (source; Forbes) lakini pia hana makeke hayo.
 
Hapa unazungumzia midude au hata helcopter ?
 
Omary Kimbau hata kuishi kwa Bi nyau haoni ni is hu,tena nyumba ya kupanga! Itakuwa kununua private jet?
Ugali buana!
 
Just like buying a car, buying a brand-new luxury jet will cost you significantly more than purchasing a second-hand one. If cost is not a consideration then the world is literally your oyster. If cost is to some extent still important in your buying decision then you will want to ensure you are getting the best value for your money. At the lower end of the price spectrum you have the Beechcraft King Air or Super King Air Turboprop, which although technically is a turboprop and not a jet aircraft, it still runs on kerosene / jet fuel and is an excellent ‘starter' private plane. With a price tag ranging from $4 million to $7.5 million, in the private jet stakes this is considered entry-level.

Kama Price ni Hiyo Ukiplus na kodi 90% inamaa Price Range $ 7.6mils to $ 14 mils mpaka tz,kwa mujibu wa forbes kina Mo,Bakhresa,Mengi wana zaidi ya utajiri wa usd 800mils inakuwaje hawana?

Souce: How Much Does a Private Jet Cost to Buy or Hire
 
Hawataki kuombwa lift na mtu wala rushwa na traffic polingam(wa jets?),just kidding & take it easy mkuu!
 
Sijamuona Mie hata mmoja Kati ya hao ulio wataja kumkaribia Prince Waleed, Kama pesa basi wanazo zakubadilishia mboga....

Hao wakina Prince Waleed wana hela za dhulma tu. Wakati watu wengine wana njaa lakini hawana haki ya kutumia utajiri wa natural resouces za nchini kwao, wao wamejimilikisha kila kitu kama miungu watu. Hawa hawajui kuoka jasho kabisa, waache wapige moto pesa watakavyo. Dhulma tu hawa.
 
I always tell myself kuwa bongo bado hakuna tajiri wa ukweli wengi wanamaisha ya kawaida tu. Na ukiwaambia hawawezi kukuelewa. Mtu ananunua magari ya japan used halafu anajitanua kua yeye tajiri. Private jet ni habari nyingine

Ukiwa na hela sio lazma uzispend kwenye usafiri unaoutaka ww kila mtu anajua pa kuspend hela zake ndo maana Birdman ana Buggati wakati aliko dangote hana ila ana pesa nying zaidi yake vivyo hivyo kina dewji wanajua pesa zao wanaspend wapi sio lazma anunue gari au pjet ambayo ww ungependa awe nayo
 
Just like buying a car, buying a brand-new luxury jet will cost you significantly more than purchasing a second-hand one. If cost is not a consideration then the world is literally your oyster. If cost is to some extent still important in your buying decision then you will want to ensure you are getting the best value for your money. At the lower end of the price spectrum you have the Beechcraft King Air or Super King Air Turboprop, which although technically is a turboprop and not a jet aircraft, it still runs on kerosene / jet fuel and is an excellent ‘starter’ private plane. With a price tag ranging from $4 million to $7.5 million, in the private jet stakes this is considered entry-level.

Kama Price ni Hiyo Ukiplus na kodi 90% inamaa Price Range $ 7.6mils to $ 14 mils mpaka tz,kwa mujibu wa forbes kina Mo,Bakhresa,Mengi wana zaidi ya utajiri wa usd 800mils inakuwaje hawana?

Souce: How Much Does a Private Jet Cost to Buy or Hire

kwan lazma ukiwa na hela umiliki ndege?? Kuna watu hawana hata hela ya billgates ila wanaspend zaidi ya billgates kila mtu ana matumizi yake bwana
 
True that, ukiangalia Dangote ni tajiri kumpita hata huyo Prince Walid (source; Forbes) lakini pia hana makeke hayo.

Mm sio tajiri lkn nimekaa karibu na matajiri wengi ....naamini kabisa matajiri wengi ambao wamekulia kwenye umaskini..na wanaotoka asia na africa....hawawezi kabisa kufanya matanuzi....wanaumizwa na ile hali ya wao kuspend too much while others are starving...huwa inawatafuna
 
Mkuu mie inaniuma watu kuwana hela halafu wamezificha nje hazimsaidii yeye wala mtanzania...ebu jaribu fikiria hao uliowasema wangeinvest katika city trains kusaidia wananchi au viwanda vya ndani kupunguza import na kutengeneza ajira zaidi, hayo ya private extravagance si wote wanayapenda kuna watu japan wana hela kubwa hadi wanaikopesha serikali yao ila wanaishi maisha ya utajiri wa kawaida sana. Mie nawaomba tu watumie kuinvest katika vitu vitavyowasaidia wazawa, railway, big hosp, kiwanda cha magari au baiskeli,pembejeo za kilimo nk
 
[h=1]The Real Cost of Owning a Yacht[/h] [h=2]Buying a yacht is only the beginning expense; here's what you need to know about the cost of owning one.[/h]
article-1024236-017C602800000578-898_468x286.jpg



  • [*=left]Mooring and Storage
    [*=left]Insurance
    [*=left]Operational Expenses
    [*=left]Maintenance
    [*=left]Crew
 
Back
Top Bottom