Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakina Prince Waleed wana hela za dhulma tu. Wakati watu wengine wana njaa lakini hawana haki ya kutumia utajiri wa natural resouces za nchini kwao, wao wamejimilikisha kila kitu kama miungu watu. Hawa hawajui kuoka jasho kabisa, waache wapige moto pesa watakavyo. Dhulma tu hawa.
Kwa hiyo hao ulio wataja pesa wametoa jasho Lao eeh? Na tunaongelea Kuhusu ma bilionea au ni Kuhusu vipi wamepata pesa zao?....
Naona umetumia nguvu nyingi kuongea jambo dogo sana,usijikere ikiwa unahisi nimekuudhi SAMAHANI SANA TENA SANA...........sipendi kumkera nnae mjua seuze weye nisokujua...Sioni sababu ya kukasirika na kutoa povu au una undugu na huyu Prince Waleed? Halafu huwezi kunipangia jinsi gani nitoe comments zangu hapa. Humu JF hakuna formula ya kuonyesha jinsi gani ya kuchangia hoja, kila mtu anaandika kutoka na mtazamo wake, kwa hiyo acha kuuliza uliza maswali wakati majibu unayo.
Hao wakina Prince Waleed wana hela za dhulma tu. Wakati watu wengine wana njaa lakini hawana haki ya kutumia utajiri wa natural resouces za nchini kwao, wao wamejimilikisha kila kitu kama miungu watu. Hawa hawajui kuoka jasho kabisa, waache wapige moto pesa watakavyo. Dhulma tu hawa.
I always tell myself kuwa bongo bado hakuna tajiri wa ukweli wengi wanamaisha ya kawaida tu. Na ukiwaambia hawawezi kukuelewa. Mtu ananunua magari ya japan used halafu anajitanua kua yeye tajiri. Private jet ni habari nyingine
nahisi ni life style tu ya mtu binafsi, mfano ni mdogo Aliko Dangote ana utajiri ambao ni mkubwa kiasi kwamba Abromovich anaweza kuingia kama mara 7, lakini mbwe mbwe na matanuzi anayofanya Abromivich unaweza fikiri Dangote cha mtoto.
Wenzetu wanajua kuspend kuna familia za wenzetu wana vipato vya kawaida lakini uwa wanaenda vacation wanatembelea sehemu nzuri wana relax, ila kwa mbongo ni tofauti ni familia chache unasikia zimetembelea mlima Kilimanjaro au mbuga flani japo kuwa unakuta ni familia zinazo jiweza.
Mkuu mie inaniuma watu kuwana hela halafu wamezificha nje hazimsaidii yeye wala mtanzania...ebu jaribu fikiria hao uliowasema wangeinvest katika city trains kusaidia wananchi au viwanda vya ndani kupunguza import na kutengeneza ajira zaidi, hayo ya private extravagance si wote wanayapenda kuna watu japan wana hela kubwa hadi wanaikopesha serikali yao ila wanaishi maisha ya utajiri wa kawaida sana. Mie nawaomba tu watumie kuinvest katika vitu vitavyowasaidia wazawa, railway, big hosp, kiwanda cha magari au baiskeli,pembejeo za kilimo nk
nahisi ni life style tu ya mtu binafsi, mfano ni mdogo Aliko Dangote ana utajiri ambao ni mkubwa kiasi kwamba Abromovich anaweza kuingia kama mara 7, lakini mbwe mbwe na matanuzi anayofanya Abromivich unaweza fikiri Dangote cha mtoto.
Wenzetu wanajua kuspend kuna familia za wenzetu wana vipato vya kawaida lakini uwa wanaenda vacation wanatembelea sehemu nzuri wana relax, ila kwa mbongo ni tofauti ni familia chache unasikia zimetembelea mlima Kilimanjaro au mbuga flani japo kuwa unakuta ni familia zinazo jiweza.
Apo kwenye red nilikua nataka niku correct kidogo mkuu...abromovich anaweza akaingia mara 2.5 kwa dangote..sio mara 7 mkuu..ila i get your point...((roman-9.5$bil na chibu -25$bil))
Pamoja mkuu nlikuwa na information mbaya nilidhani abromovich ana worth 3.8 bills dollars.
Thank you kwa kunisahihisha
Kule Oysterbay Yatch Club hakuna mabilionea?
Hao maprince Waleed, Talal, Faisal nk pesa zao ni halali maana baba yao Sultan Abdulaziz Al Saud ndiye founder wa Saud Arabia iliyokuwa na vinchi vidogovidogo akaifanya Saud kuwa taifa lenye nguvu na utajiri wa mafuta huku akitoa huduma zote muhimu kwa raia zake pia maisha bora
Wewe ungelia na Kikwete na wanamitando kwa kujitajirisha haraka kwa kukwapua mali za nchi hii huku wakiacha watanzania wakiwa na njaa, hawana huduma Za afya, hawana ajira wala huduma za jamii usilie na akina Prince Waleed wao wameanza kutanua baada ya kuhakikisha wasaud wako poa na hawana shida za kijinga sie akina Kikwete, Ridhwan, Chenge, Ngeleja, Tibaijuka, Muhongo, Karamagi, Omar Nundu, Rostam, Maswi, nk wanakwapua na kutajirika na wengine kuweka pesa nje ya nchi wakati watanzania wana njaa kwahiyo hapo nani wa kulaumiwa usultan wa Saud au wanamtandao?