Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza mkuu kila kitu duniani ni ujanja ujanja.Waliompigia Messi walitoka bara gani?
Of course mkuu, kila kitu duniani ni siasa...Hivi unadhani Hazard hajui kuwa Messi ni bora kuliko Ngolo Kante?
Baada ya kutolewa tuzo ya mchezaji bora duniani
Leo nikiwa naperuzi document yenye matokeo ya kura zilizopigwa na macaptain wa timu za taifa kuna baadhi ya ma captain walinishangaza
ipo hivi
Hugo Lloris wa Ufaransa alimpigia kura-
Ronaldo,Sergio Ramos na Hary kane
Bufon wa italy- Ronaldo,Dyabala na Modric
Roben wa uholanzi - Ronaldo,Ramos na Marcelo
Hazard wa Ubelgiji-Ngolo kante,Ronaldo na Modric
Gunnarson wa Iceland-Ronaldo,Neymar,Modric
Stefan Lichisteiner wa uswisi-Ronaldo,Ramos,Buffon
Nachekaga sana, tuzo kutolewa kwa kura, huwa nasema ni mapenz ya watu binafsi.. hamna vigezo vya maana..
Hazard ndio kaua kabisa, kaamua aanze na mwanae kante[emoji23] [emoji23]
Hata wasipompigia Kura Uwezo wa Messi na Ubora wake ni Zaidi ya Mchezaji Yeyote Kuwahi Kutokea Duniani!
Wengi wanaomchukia na kum underestimate Messi wana shida tuuUmeongea facts Mkuu. Mungu anawaona kwa dhuluma wanayomfanyia kiumbe huyu kuwahi kutokea
Unatumia kipimo gani kupima UBORA wa mchezaji. Labda tungeanzia hapo.Waliompigia Messi walitoka bara gani?
Of course mkuu, kila kitu duniani ni siasa...Hivi unadhani Hazard hajui kuwa Messi ni bora kuliko Ngolo Kante?
Wengi wanaomchukia na kum underestimate Messi Akili zao sio timamu
Tanzania mbona sijaiona hapo??
Mbee umefunga threadWaliompigia Messi walitoka bara gani?
Of course mkuu, kila kitu duniani ni siasa...Hivi unadhani Hazard hajui kuwa Messi ni bora kuliko Ngolo Kante?
Alipokuwa anashinda miaka mitatu mfululiza mbona hamkuzungumzia ishu ya ubara?Ni chuki kabisa wanapigiana wao kwa wao. Au kwakuwa Messi ni mSouth Amerika!!! Watambue kuwa Messi ndie professor wa maprofessor___dunia nzima inamtambua kiumbe huyu wa ajabu kuwahi kutokea___Maradona na Pele wanajua hilo
samata hakumpigia messi wala ronaldoTanzania nani alituwakilisha jamanii
Tanzania mbona sijaiona hapo??
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Chakushangaza mleta mada analalamika wakati Messi tuzo kwake sio issue.CR 7 hata akichukua uchezaji bora mara 100 bado messi ni zaidi yake mara 1000
Chakushangaza mleta mada analalamika wakati Messi tuzo kwake sio issue.