Hawa ma captain hawauoni uwezo wa Messi au ni ubara?

Hawa ma captain hawauoni uwezo wa Messi au ni ubara?

Nachekaga sana, tuzo kutolewa kwa kura, huwa nasema ni mapenz ya watu binafsi.. hamna vigezo vya maana..

Hazard ndio kaua kabisa, kaamua aanze na mwanae kante[emoji23] [emoji23]
 
Baada ya kutolewa tuzo ya mchezaji bora duniani
Leo nikiwa naperuzi document yenye matokeo ya kura zilizopigwa na macaptain wa timu za taifa kuna baadhi ya ma captain walinishangaza
ipo hivi

Hugo Lloris wa Ufaransa alimpigia kura-
Ronaldo,Sergio Ramos na Hary kane

Bufon wa italy- Ronaldo,Dyabala na Modric

Roben wa uholanzi - Ronaldo,Ramos na Marcelo

Hazard wa Ubelgiji-Ngolo kante,Ronaldo na Modric

Gunnarson wa Iceland-Ronaldo,Neymar,Modric

Stefan Lichisteiner wa uswisi-Ronaldo,Ramos,Buffon


Ni chuki kabisa wanapigiana wao kwa wao. Au kwakuwa Messi ni mSouth Amerika!!! Watambue kuwa Messi ndie professor wa maprofessor___dunia nzima inamtambua kiumbe huyu wa ajabu kuwahi kutokea___Maradona na Pele wanalijua hilo
 
Nachekaga sana, tuzo kutolewa kwa kura, huwa nasema ni mapenz ya watu binafsi.. hamna vigezo vya maana..

Hazard ndio kaua kabisa, kaamua aanze na mwanae kante[emoji23] [emoji23]

Mkuu___hizo ni chuki. Mti wenye matunda hupigwa mawe. Lakini wanajuwa King Messi ndie baba wa soka kuwahi kutokea duniani.watachonga sana lakini ukweli ndio huo
 
Hata wasipompigia Kura Uwezo wa Messi na Ubora wake ni Zaidi ya Mchezaji Yeyote Kuwahi Kutokea Duniani!

Umeongea facts Mkuu. Mungu anawaona kwa dhuluma wanayomfanyia kiumbe huyu kuwahi kutokea
 
Waliompigia Messi walitoka bara gani?

Of course mkuu, kila kitu duniani ni siasa...Hivi unadhani Hazard hajui kuwa Messi ni bora kuliko Ngolo Kante?
Unatumia kipimo gani kupima UBORA wa mchezaji. Labda tungeanzia hapo.
 
Who-voted-for-who-the-results-of-the-THE-BEST-MENSs-PLAYER-2017-vote-for-the-FIFA-awards-in-Lon.jpg
Tanzania mbona sijaiona hapo??
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Waliompigia Messi walitoka bara gani?

Of course mkuu, kila kitu duniani ni siasa...Hivi unadhani Hazard hajui kuwa Messi ni bora kuliko Ngolo Kante?
Mbee umefunga thread
 
Ni chuki kabisa wanapigiana wao kwa wao. Au kwakuwa Messi ni mSouth Amerika!!! Watambue kuwa Messi ndie professor wa maprofessor___dunia nzima inamtambua kiumbe huyu wa ajabu kuwahi kutokea___Maradona na Pele wanajua hilo
Alipokuwa anashinda miaka mitatu mfululiza mbona hamkuzungumzia ishu ya ubara?
 
Back
Top Bottom