Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ndo uwezo wao ulipoishia…!!! Acha makasiriko mkuu…!! Simba TUNA KIKOSI KIPANA…!!! Huoni soka hilo…!!!??
Yaani wameingia kwenye mtego vizurii..ukiachwa hapoa au kukaa benchi hakuna wa kumlaumuTangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki.
Kocha Mgunda pamoja na kukerwa na namna walivyocheza, leo wamekichezesha kikosi kilekile isipokuwa Kibu tu. Watoto ni watoto tu. Bila kujua kuwa huo ni mtego, naona madogo wanacheza kwa standard ileile. Hakuna jitihada, pasi mkaa, wanapoteza mipira hovyo, hawajui kufungua wala hatuoni vipaji vile tunavyotarajia kuona kwa vijana wadogo kama hawa. Wengi ni wa kufukuza tu hapa.
Ogopa Sana Hakimu akikwambia Jitetee.
Wote hamna hata kibu dOkwa, Kiyombo sio wa kuichezea Simba. Bora hata na Kibu D.
Mheshimiwa hakimu mimi sikuiba ila ukinisamehe sitorudia kamwe!!!.mkuu kwann niogope hakimu akiniambia nijitete?
Kocha mpya kamkubali KibU D.Wote hamna hata kibu d
Kyombo ana mwili mzuri wa mpira ila hana foundation nzuri ya mpira. Kuna vitu alivikosa katika hatua zake za mwanzo za kujifunza mpira ni vigumu kukua kutoka hapo alipo hata akae chini ya uangalizi wa Zidane labda mpaka ku reset akili yake aanze upya. Hilo ni tatizo la wachezaji wetu wengi wazawa.Kocha mpya kamkubali KibU D.
Wachezaji wazawa wanasikitisha sana, hawajitumi.
Kyombo ni mrefu, ana nguvu, bado kijana.
Sasa mpe mpira atembee nao
Hapo ndipo utaishia kucheka tu.
Kijana kutoka Simba B aliyefunga goli pekee kombe la Mapinduzi ana kitu Mguuni.
Mchezaji anaonekana hata kwa mikimbio yake tu akiwa hana mpira.