Hawa majenerali (jenero) wa vikundi vya kijeshi vya DRC wanasomea wapi?

Hawa majenerali (jenero) wa vikundi vya kijeshi vya DRC wanasomea wapi?

Ni kujipachika mavyeo tu
Nanukuu"

Baada ya RPF kuchukua madaraka, Makenga alijumuishwa katika jeshi rasmi la Rwanda na kupanda cheo hadi kuwa naibu kamanda wa kikosi na kufikia cheo cha sajenti.
"Alikuwa mzuri sana katika kuanzisha mtego," alisema mmoja wa wapiganaji wenzake wa RPF kwa shirika lisilo la kiserikali la Rift Valley Institute.
Hata hivyo, maendeleo yake katika jeshi la Rwanda yalikwama. Uhalisia kwamba alikuwa na elimu ya chini na alizungumza kifaransa na kingereza kidogo ulileta "kikwazo kwa taaluma yake ya kijeshi," ilisema Rift Valley Institute."

Mwisho wa kunukuu
 
DRC wana vikundi tele vidogovidogo dizaini ya M23 vingi vikitumia maaskari watoto.

Kila kikundi utasikia wana Jenero wao.

Hivi hawa majenero wanasomea wapi hadi wanafuzu kupata huo ujenero au wanajipachika tu hayo majina?
Wasome wapi jeshi !!! Akipata tu madini akanunua AK-47 100 huko Urusi anajitangaza general na anahamia msituni anatafuta nchi ya kumuunga mkono Rwanda, USA, Uganda or any one anaanza kusumbua na kuua.
 
Hamna majenerali hapo ni makopro wote iwapo kepteni anaweza kupindua na kuongoza nchi iweje majenerali woooote hao washindwe?

Mbuzi tu hao asiwapotezee muda
 
General Sultani Makenga ,,,,,najua wewe ni mutu ya kongomani,,,,tuondolee huu utata.
20230512_225747.jpg
 
Kila mwenye kikosi basi anakuwa na cheo jenerali, jenerali gani hata goboro anashindwa kubeba? 😄 🤣
 
Back
Top Bottom