Hawa majenerali (jenero) wa vikundi vya kijeshi vya DRC wanasomea wapi?

Hawa majenerali (jenero) wa vikundi vya kijeshi vya DRC wanasomea wapi?

Vp hao wavunja tofari wameachiwa kutoka kua mateka w M23? Tayri?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Geshini kupanda cheo sio lazima itokane na kisomo, ukiongoza kikosi au kiongozi akifa ukaongoza, kupigana vita au mission accomplishments au academic unaweza pata cheo kama iko cha sultan
 
Generali kwenye majeshi ni cheo ambacho kinaweza kuwa kimetokana na elimu katika vyuo vya kijeshi na/au hata ufanisi katika medani ya vita.
kupita chuo cha jeshi lazima shekhe
 
Kudadeeki! DRC kuna vikundi vya waasi vingi balaa, halafu vipo mashariki. Kule magharibi kinshasa kuna vyama vya siasa tu vya kina moise na wengine. Sasa hawa wa mashariki hata M23 wakishinda vita watakabiliwa na makundi mengine nao waondolewe. Ni vurugu tupu na ushenzi mashariki mwa DRC
 
Back
Top Bottom