Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
kwahiyo elimu yenyewe ni uwezo wa kujificha huko machakani muda mrefu au?Ku-survive tu huko kwenye misitu ya Kongo ni kisomo tosha
Wee mzee unawaza makange tu muda wote yule ni Makenga 😂😂Ku-survive tu huko kwenye misitu ya Kongo ni kisomo tosha eg huyo jamaa wa M23 Gen Makange yeye toka 1990s yupo kwenye uwanja wa vita mpaka leo.
Ni kujipachika mavyeo tuUsishangae hata kwenye Siasa kuna ma Dr kama Msukuma na Taletale na pia maprofesa kama Jay na Majimarefu
Nanukuu"Ni kujipachika mavyeo tu
kwaiyo itakuwa alivyounda movement yake ndo akapata uhuru wa kujipachika mavyeo😆Hata hivyo, maendeleo yake katika jeshi la Rwanda yalikwama
Wasome wapi jeshi !!! Akipata tu madini akanunua AK-47 100 huko Urusi anajitangaza general na anahamia msituni anatafuta nchi ya kumuunga mkono Rwanda, USA, Uganda or any one anaanza kusumbua na kuua.DRC wana vikundi tele vidogovidogo dizaini ya M23 vingi vikitumia maaskari watoto.
Kila kikundi utasikia wana Jenero wao.
Hivi hawa majenero wanasomea wapi hadi wanafuzu kupata huo ujenero au wanajipachika tu hayo majina?
Hamna majenerali hapo ni makopro wote iwapo kepteni anaweza kupindua na kuongoza nchi iweje majenerali woooote hao washindwe?Wasome wapi jeshi !!! Akipata tu madini akanunua AK-47 100 huko Urusi anajitangaza general na anahamia msituni anatafuta nchi ya kumuunga mkono Rwanda, USA, Uganda or any one anaanza kusumbua na kuua.
Major general Sultan Makenga ni kama Arnesto Che guevara.Mtu wa harakati za kupambania haki kwenye misha yake yote mpaka pale umauti utakapo mkuta.Huyo Gen Makange namsikia muda mrefu sanaa....amekulia humo na sasa anazeekea humo
duh😳kiongozi unamfananisha makenga na Che? seriously?Major general Sultan Makenga ni kama Arnesto Che guevara